Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti.
Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana.
Mbaya zaidi ni mita 30 kutokea kwa baba yetu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Mboma.
Polisi Kawe tumeripoti sana lakini hamna msaada. Hivi majuzi wamekufa watu wawili.
Wamekamatwa watu kadhaa polisi wa Kawe wanajua.
Tunaomba kile kituo fanya mabadiliko, tumechoka, tukiamua kuvizia hawa watu hatutapeleka polisi kamwe!
Thx.