IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

njia ya kininja ya kupambana na vibaka mtaani ni pamoja kusalimu amri mapema ili kuwasoma silaha na uwezo wao kabla ya kukaniliana nao kwa nguvu, hiyo inaweza kuwatisha na wao wakaanza kutimka mbio au kutoka nduki :pulpTRAVOLTA:
😄
Naingia kwenye ibada bar hapa iliyopo St Peters ndani kanisani
Karibu, niko hpa kwa marealle njoo
Tutoe loki boss wangu...

Ova
 
Attachments

  • 20240825_112635.jpg
    20240825_112635.jpg
    1.6 MB · Views: 1
Mkuuu upoo baadae walinzi haoohao wakaanza kuporra tukawaondoa mpwa changamoto yaan ikifika saa nne kutembea kama unaingia buza kwa lulenge
Buza kwa lulenge kunamatukio Kama hayo?
 
Tena leo jpili kuamkia kesho watu watalia sana
Pdidy najuwa utatuletea humu updates

Ova
 
😄
Naingia kwenye ibada bar hapa iliyopo St Peters ndani kanisani
Karibu, niko hpa kwa marealle njoo
Tutoe loki boss wangu...

Ova
jana usubuhi ulikua kwenye mgahawa huko Istanbul uturuki, leo uko dar es salam kwa marealle unatoa loki :pulpTRAVOLTA:

aise,
usafiri wa dream liner na boing si mchezo,
mama anaupiga mwingi ee Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye usafiri wa anga, right?:pulpTRAVOLTA:
 
inachekesha sana,

kuna mambo ni mipango mathubuti tu, mna maliza tatizo :pulpTRAVOLTA:
Imagine wanatokea watu wanachapa makofi mitama kibaya zaidi wanaku chana na kisu..
Wanakuambia lala chini 😄
Jigaragaze 😄
Ukiiangalia wee mtu mzima alafu vyenyewe vitoto

Ova
 
😄
Naingia kwenye ibada bar hapa iliyopo St Peters ndani kanisani
Karibu, niko hpa kwa marealle njoo
Tutoe loki boss wangu...

Ova
Umenikumbushaaa mpwaaa nasie tumewekewa bar hapa kanisan St Moore yaan soon watatuwekea na guest
 
Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti.

Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana.

Mbaya zaidi ni mita 30 kutokea kwa baba yetu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Mboma.

Polisi Kawe tumeripoti sana lakini hamna msaada. Hivi majuzi wamekufa watu wawili.

Wamekamatwa watu kadhaa polisi wa Kawe wanajua.

Tunaomba kile kituo fanya mabadiliko, tumechoka, tukiamua kuvizia hawa watu hatutapeleka polisi kamwe!

Thx.
We mnyarwanda jifunze kiswahili
 
Imagine wanatokea watu wanachapa makofi mitama kibaya zaidi wanaku chana na kisu..
Wanakuambia lala chini 😄
Jigaragaze 😄
Ukiiangalia wee mtu mzima alafu vyenyewe vitoto

Ova
Mpwaa niliwahi jikolea 2020 usikutane nayo hii mbelee nkaona wanakalishwa madada wawili nkasema nirudi nyuma nkakutana na mwamba wako 3 wanasema tuliaaaaa kaachini unaenda wapi dah nkawaomba niwape simuhela waniachie..nilipotoa ushirikiano jamaa wakanipeleka mpaka karibu na hme saba usiku nafika nakuta nguo imelowana achatu
 
Umenikumbushaaa mpwaaa nasie tumewekewa bar hapa kanisan St Moore yaan soon watatuwekea na guest
Ila hapa kwa marealle pako kiheshimazaidi mpwaa wana supu nzuri, watu wastaarabu hakuna kelele za singeli sjui komasava amapiano
Hakuna uhuni...nafikiri unajuwa hPa wamezunguka wakina nani 😄
Unakuja unakaa na familia yKe bila wasi unashusha vyomboo

Ova
 
Kama.mida mibaya toa ushirikiano ili mradi wasikuvue nguo mengine weee wala hamna haja ya kushindanaa nao ukijaa kwenye mfumo wanakumaliza

Wasthirika wengi wanakuwa wabishi kuwapa ushirikiano mbele nyuma akusomeki upo pekeyako shida ya nn wapenwanachotaka
 
Mpwaa niliwahi jikolea 2020 usikutane nayo hii mbelee nkaona wanakalishwa madada wawili nkasema nirudi nyuma nkakutana na mwamba wako 3 wanasema tuliaaaaa kaachini unaenda wapi dah nkawaomba niwape simuhela waniachie..nilipotoa ushirikiano jamaa wakanipeleka mpaka karibu na hme saba usiku nafika nakuta nguo imelowana achatu
Hatari sana

Ova
 
Back
Top Bottom