mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ila hapo inabidi wakazi wote waitane mfanye kikaooooKama.mida mibaya toa ushirikiano ili mradi wasikuvue nguo mengine weee wala hamna haja ya kushindanaa nao ukijaa kwenye mfumo wanakumaliza
Wasthirika wengi wanakuwa wabishi kuwapa ushirikiano mbele nyuma akusomeki upo pekeyako shida ya nn wapenwanachotaka
Cha kuelezea hali ilivyo na kutoa tahadhari na onto kwa wahalifu wote wanaokuja huko
Ova

