Tatizo huko wanaonizwa ni walalahoi ngoja siku mke au mtoto wa fulani afNyiwe kitu mbaya ulinzi utawekwaMh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti.
Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana.
Mbaya zaidi ni mita 30 kutokea kwa baba yetu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Mboma.
Polisi Kawe tumeripoti sana lakini hamna msaada. Hivi majuzi wamekufa watu wawili.
Wamekamatwa watu kadhaa polisi wa Kawe wanajua.
Tunaomba kile kituo fanya mabadiliko, tumechoka, tukiamua kuvizia hawa watu hatutapeleka polisi kamwe!
Thx.
Mkuuu upoo baadae walinzi haoohao wakaanza kuporra tukawaondoa mpwa changamoto yaan ikifika saa nne kutembea kama unaingia buza kwa lulengeMpwa, huko msitegeme msaada wa polisi inabidi wakazi wote wa huko mjikusanye muunde ulinzi wenu binafsi
Hivi ulinzi shirikishi ipo
Ova
Pale mke wa fulani kigogo ilimkutaSALENDA MPAKA ALIPOPITIWA ....NDIO MPAKA KESHO DEFENDER ASBH NA MAPEMA
Nakumbuka hiyoMkuuu upoo baadae walinzi haoohao wakaanza kuporra tukawaondoa mpwa changamoto yaan ikifika saa nne kutembea kama unaingia buza kwa lulenge
njia ya kininja ya kupambana na vibaka mtaani ni pamoja kusalimu amri mapema ili kuwasoma silaha na uwezo wao kabla ya kukaniliana nao kwa nguvu, hiyo inaweza kuwatisha na wao wakaanza kutimka mbio au kutoka nduki
inachekesha sana,