IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

njia ya kininja ya kupambana na vibaka mtaani ni pamoja kusalimu amri mapema ili kuwasoma silaha na uwezo wao kabla ya kukaniliana nao kwa nguvu, hiyo inaweza kuwatisha na wao wakaanza kutimka mbio au kutoka nduki
πŸ˜„
Naingia kwenye ibada bar hapa iliyopo St Peters ndani kanisani
Karibu, niko hpa kwa marealle njoo
Tutoe loki boss wangu...

Ova
 

Attachments

  • 20240825_112635.jpg
    1.6 MB · Views: 1
Mkuuu upoo baadae walinzi haoohao wakaanza kuporra tukawaondoa mpwa changamoto yaan ikifika saa nne kutembea kama unaingia buza kwa lulenge
Buza kwa lulenge kunamatukio Kama hayo?
 
Tena leo jpili kuamkia kesho watu watalia sana
Pdidy najuwa utatuletea humu updates

Ova
 
πŸ˜„
Naingia kwenye ibada bar hapa iliyopo St Peters ndani kanisani
Karibu, niko hpa kwa marealle njoo
Tutoe loki boss wangu...

Ova
jana usubuhi ulikua kwenye mgahawa huko Istanbul uturuki, leo uko dar es salam kwa marealle unatoa loki

aise,
usafiri wa dream liner na boing si mchezo,
mama anaupiga mwingi ee Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye usafiri wa anga, right?
 
inachekesha sana,

kuna mambo ni mipango mathubuti tu, mna maliza tatizo
Imagine wanatokea watu wanachapa makofi mitama kibaya zaidi wanaku chana na kisu..
Wanakuambia lala chini πŸ˜„
Jigaragaze πŸ˜„
Ukiiangalia wee mtu mzima alafu vyenyewe vitoto

Ova
 
πŸ˜„
Naingia kwenye ibada bar hapa iliyopo St Peters ndani kanisani
Karibu, niko hpa kwa marealle njoo
Tutoe loki boss wangu...

Ova
Umenikumbushaaa mpwaaa nasie tumewekewa bar hapa kanisan St Moore yaan soon watatuwekea na guest
 
We mnyarwanda jifunze kiswahili
 
Imagine wanatokea watu wanachapa makofi mitama kibaya zaidi wanaku chana na kisu..
Wanakuambia lala chini πŸ˜„
Jigaragaze πŸ˜„
Ukiiangalia wee mtu mzima alafu vyenyewe vitoto

Ova
Mpwaa niliwahi jikolea 2020 usikutane nayo hii mbelee nkaona wanakalishwa madada wawili nkasema nirudi nyuma nkakutana na mwamba wako 3 wanasema tuliaaaaa kaachini unaenda wapi dah nkawaomba niwape simuhela waniachie..nilipotoa ushirikiano jamaa wakanipeleka mpaka karibu na hme saba usiku nafika nakuta nguo imelowana achatu
 
Umenikumbushaaa mpwaaa nasie tumewekewa bar hapa kanisan St Moore yaan soon watatuwekea na guest
Ila hapa kwa marealle pako kiheshimazaidi mpwaa wana supu nzuri, watu wastaarabu hakuna kelele za singeli sjui komasava amapiano
Hakuna uhuni...nafikiri unajuwa hPa wamezunguka wakina nani πŸ˜„
Unakuja unakaa na familia yKe bila wasi unashusha vyomboo

Ova
 
Kama.mida mibaya toa ushirikiano ili mradi wasikuvue nguo mengine weee wala hamna haja ya kushindanaa nao ukijaa kwenye mfumo wanakumaliza

Wasthirika wengi wanakuwa wabishi kuwapa ushirikiano mbele nyuma akusomeki upo pekeyako shida ya nn wapenwanachotaka
 
Hatari sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…