Ila hapo inabidi wakazi wote waitane mfanye kikaooooKama.mida mibaya toa ushirikiano ili mradi wasikuvue nguo mengine weee wala hamna haja ya kushindanaa nao ukijaa kwenye mfumo wanakumaliza
Wasthirika wengi wanakuwa wabishi kuwapa ushirikiano mbele nyuma akusomeki upo pekeyako shida ya nn wapenwanachotaka
Sehemu starehe zikihamia wahalifu lazima wajeWenginwana silaha mpwa ukutane na wale wakitoa lazima wakutunhku umeishaa
hapo nakubali umenikamata vyemaInstabul mgahawa wa waturuki sleepway bana
Ova
Waitara ni salasalaMboma anakaa rain bow? Sio sala sala??
Kwani mwanangu we hujawahi kupigwa tanchi na kuporwaa 😄hapo nakubali umenikamata vyema
hapana sijawahi,Kwani mwanangu we hujawahi kupigwa tanchi na kuporwaa 😄
Mimi mbona nishakutana sana tena zile bab k
Mpaka unasema leo ndiyo mwisho wangu
Ova
Wote 2 nyumba zao zinapakanaa mkuu...anaanza Mbona then WaitaraWaitara ni salasala
Au umechanganya na kwa mbowe? Navojua mboma ni tangi bovu miaka mingi tu. Waitara na mbowe wametenganishwa na maduka na sheli basi.Wwote
Wote 2 nyumba zao zinapakanaa mkuu...anaanza Mbona then Waitara
😆 mimi nishapigwa tanchi dizonga na Sao Paolo Brazil zile zilikuwa za maanahapana sijawahi,
na sijui itakuaje. nadhani war techniques zitaaply kulingana na strength ya adui, but ni kwnye hizi za mitaani tu, tena ambazo zinatumia silaha za jadi...
ila zile za misituni ambazo wasafirisha mizigo masafa marefu hukumbana nazo na silaha za moto zinahusika sitaki kuzungumzia sana
Wahuni wengi wanapenda kujificha kwenye bonde lile mpaka kati ya packers na mbezi beach,polisi wakienda kufanya doria utasikia habari yakeKawe naonaga sio sehemu salama kuishi.
Sahv huko inabd kila bodaboda ipigwe mkono wakaguliweMadadaa andiooo usiseme wanapigika balaaa
We endelea kuuliza polisi wanafanya kazi gani badala ya kuangalia usalama wako binafsi, hao polisi hata elfu 50 hawafiki na Tz wako watu million 60+ walioanzisha ulinzi shirikishi siyo wajingaPolisi wana fanya kazi gani?
Kule mpaka mke,mtoto,familia ya kigogo afanyiwe ndiyo ulinzi utawekwaBila kupush mtandaoni, inakuwa kama hakijayokea kitu
Hujajibu,nimekuuliza kwa lulenge napo kunamatukio Kama hayo?Kee balaaaa mkuuu
Hayo mambo ya kulipa sungu sungu nilishakataa au kutoka kulinda ulinzi shirikishi.kodi nilipe walipwe polisi na bado niache kulala nijilinde?HAPANA.We endelea kuuliza polisi wanafanya kazi gani badala ya kuangalia usalama wako binafsi, hao polisi hata elfu 50 hawafiki na Tz wako watu million 60+ walioanzisha ulinzi shirikishi siyo wajinga