Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Jitihada za royal tua zinarudishwa nyuma.Sio kimandolu tu,Lemala,daraja mbili na Uzunguni bara bara ya blue stone,kwa week mbili mfululizo wameuawa watu watatu kwa kuchomwa visu na tatu mzuka,bara bara za uzunguni uporaji hufanyika mchana,Sijaona jitihada kuwadhibiti,Mbaya zaidi wameanza kugusa wageni.
Tutauana kama kuku, US watatushangaaIfike mahali kila raia aruhusiwe tu kumiliki angalau ka bastola tu..ndo tutaheshimiana.
Basi Arusha imeshakuwa tatizo. Ila Arusha kuna ushkaji sana wa polisi na hawa wahalifu. Miaka ya 2012 nilikuwa naonaga maafisa wa hili jeshi wakipiga bia na watu wanaosemwa kwa uhalifu pale Anless bar kona ya kwenda Ilboru. Nadhani wakati wa Magu hawakuwa wakionekanaKuwa makini tu mkuu, pale picnic, xo, Africana nk Kuna wajomba ni wazee wa kuchora ramani sana na ukijichanganya unaweza pigwa tukio ukiondoka kwani unaondoka na unafuatiliwa vizuri tu .
Na huko ndivyo hivyo hivyo mkuuHawa wezi wa tatu mzuka ni hatari mnooo . Wao kazi Yao ni kuvizia watu
Mkuu wezi wanaishi mtaani na wanafahamika. Inakuwa kama we humfahamu mzazi au rafiki yake anamfahamu. Tuwafichue la sivyo tunazid umizwa pia jamaa zetuKuna tofauti kati ya Panya road na hawa wezi wa Arusha. Panya road ni watoto ambao wanaishi mitaani na wanafahamika kabisa ila kwa upumbavu wa watu wa Dar wanafichiana siri. Utakuta kitoto cha miaka 13 kinasumbua mtaa mzima halafu watu wazima wa mtaani kwao wanamtazama tu. Hao wa Arusha wengi wao kuwafahamu ni hadi upelelezi.
Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa manyumbani na wezi wa kawaida.
Wezi wa pikipiki ama tatu mzuka wamekuwa wakiwaibia watu kwa nguvu huku wakiwadhuru kwa kuwachoma visu ama spoko za baiskeli hata mchana kabisa, huku wakiwanyanganya vitu walivyobeba huku wananchi wa kawaida wakiogopa kuingilia kwa kuhofia maisha Yao.
Hawa wameua watu wengi sana wanojaribu kupambana nao ili kuzuia wizi.
Wezi wa pili ni wezi wa nyumbani na kuvamia sehemu za biashara. Hapa ndio watu wengi wanapoumizi watu zaidi .
Mfano.... Kata ya kimandolu imekumbwa na wezi wanaoiba kila nyumba na sehemu za biashara . Yaaani imekuwa kama imehalalishwa watu kuibiwa nyumba kwa nyumba na sehemu za biashara kila siku bila jeshi la polisi kuchukua hatua zozote za kuzuia wizi huo huku wakijua wahusika wa matukio yote ya wizi .
Mfano kwa kimandolu wanajua kuwa kuna kijana anaitwa ADAM ambaye amekuwa ni mwizi mkuu na ndiye anaye organize wizi wote unaotokea kimandolu. Mwezi watano mwaka Jana kama sijakosea kijana huyo alikamatwa akiwa amekodisha nyumba zaidi ya mbili zikiwa kama warehouse zake za kuifadhi vitu vyake anavyoibia wananchi.
Mwaka jana mwezi wa tano ama wa sita alikamatwa na laptop zaidi ya 30, pikipiki zaidi ya tano , generators zaidi ya kumi , tv haziesabiki na accessories kibao ila akaachiwa kutokana na polisi wasio waaminifu kutoa taarifa za whisle blowers waotoa taarifa. Hivyo wananchi waaogopa kwenda toa ushahidi mahakamani utakoweza kumtia hatiani kwa kuogopa kuja kuuliwa na mtuhumiwa.
Kinachotokea polisi wa doria na baadhi ya polisi central wanakuwa sehemu ya huu ujambazi unaotokea kila siku.
Huyu kijana na washirika wake wamekuwa tishio kwa Kimandolu na sehemu za karibu kwa sababu amekuwa na watu wake ndani ya Jeshi la polisi wanaompa taaarifa.
Chondechonde IGP tunaomba uingilie Kati wizi huu unaotusumbua mjini Arusha . Huyu kijana yupo well trained kiasi cha kwamba ana uwezo wa ku bypass camera na ana mavazi ya kujikinga na camera kutokana na polisi ambao wasio wema wamemtaarifu namna ya kujikinga ili asionekane kwenye camera sehemu mbalimbali anazokwenda kuiba.
Tunaomba IGP na viongozi waandamizi waaingilie kati kuingilia hili tatizo kwa mkoa wa Arusha maaana wananchi tumechoka
...mida kama hii wakulungwa ndio huwa tunatafuta chumba cha kupanga sifa nyumba isiwe na fence na dirisha liwe la wavu tu NO ALUMINIUM maeneo ya Kimandolu ili tuoneshane ushababi dadeki, yani kidume anatamba vidume wa Chuga mnafyata mnaogopa bisbis na spoke za baiskeli???Kumeibuka wizi mkoa wa Arusha unaotishia usalama wa wananchi wa kawaida na wafanyabiashara mbalimbali kuvamiwa na kuibiwa either kwa ujambazi wa kutumia pikipiki (tatu mzuka) ama kuibiwa manyumbani na wezi wa kawaida.
Wezi wa pikipiki ama tatu mzuka wamekuwa wakiwaibia watu kwa nguvu huku wakiwadhuru kwa kuwachoma visu ama spoko za baiskeli hata mchana kabisa, huku wakiwanyanganya vitu walivyobeba huku wananchi wa kawaida wakiogopa kuingilia kwa kuhofia maisha Yao.
Hawa wameua watu wengi sana wanojaribu kupambana nao ili kuzuia wizi.
Wezi wa pili ni wezi wa nyumbani na kuvamia sehemu za biashara. Hapa ndio watu wengi wanapoumizi watu zaidi .
Mfano.... Kata ya kimandolu imekumbwa na wezi wanaoiba kila nyumba na sehemu za biashara . Yaaani imekuwa kama imehalalishwa watu kuibiwa nyumba kwa nyumba na sehemu za biashara kila siku bila jeshi la polisi kuchukua hatua zozote za kuzuia wizi huo huku wakijua wahusika wa matukio yote ya wizi .
Mfano kwa kimandolu wanajua kuwa kuna kijana anaitwa ADAM ambaye amekuwa ni mwizi mkuu na ndiye anaye organize wizi wote unaotokea kimandolu. Mwezi watano mwaka Jana kama sijakosea kijana huyo alikamatwa akiwa amekodisha nyumba zaidi ya mbili zikiwa kama warehouse zake za kuifadhi vitu vyake anavyoibia wananchi.
Mwaka jana mwezi wa tano ama wa sita alikamatwa na laptop zaidi ya 30, pikipiki zaidi ya tano , generators zaidi ya kumi , tv haziesabiki na accessories kibao ila akaachiwa kutokana na polisi wasio waaminifu kutoa taarifa za whisle blowers waotoa taarifa. Hivyo wananchi waaogopa kwenda toa ushahidi mahakamani utakoweza kumtia hatiani kwa kuogopa kuja kuuliwa na mtuhumiwa.
Kinachotokea polisi wa doria na baadhi ya polisi central wanakuwa sehemu ya huu ujambazi unaotokea kila siku.
Huyu kijana na washirika wake wamekuwa tishio kwa Kimandolu na sehemu za karibu kwa sababu amekuwa na watu wake ndani ya Jeshi la polisi wanaompa taaarifa.
Chondechonde IGP tunaomba uingilie Kati wizi huu unaotusumbua mjini Arusha . Huyu kijana yupo well trained kiasi cha kwamba ana uwezo wa ku bypass camera na ana mavazi ya kujikinga na camera kutokana na polisi ambao wasio wema wamemtaarifu namna ya kujikinga ili asionekane kwenye camera sehemu mbalimbali anazokwenda kuiba.
Tunaomba IGP na viongozi waandamizi waaingilie kati kuingilia hili tatizo kwa mkoa wa Arusha maaana wananchi tumechoka .
Inatakiwa kauli kali kama hii!! Uliwachekea hawa watu utavuna majambazi ya hatariMwanao ukimkosa mahabusu nenda kamtafute hospitalini ~~~~ Amos Makalla (mkuu wa mkoa Dar)
Baada ya hii kauli iliyopingwa na chadema, panya road wakaisha mitaani.
Tukio limetokea maeneo gani ?Usiku wa kuamkia ijumaa wametuibia.
Wamekata bati wakaingia.Kuna frame nne zimeungana kila moja wameingia mbili tu ndio zimepona mana hawakuona cha kubeba ila hizi nyingine mbili wameiba.Na hawajachukua vitu vya kubebeka walichokua wanabeba ni voucher na hela tu.
Wanaturudisha nyuma sana.
Arusha matukio ya ukibaka ni ya hao tatu mzuka ila wakija majambarika mzee wanakuja na muzburg (mjegeje/bunduki) wanakichafua mapema sana asubuhi saa nne wanaiba mahali popote na roho ya mtu inatoka kama akileta uduanzi....mida kama hii wakulungwa ndio huwa tunatafuta chumba cha kupanga sifa nyumba isiwe na fence na dirisha liwe la wavu tu NO ALUMINIUM maeneo ya Kimandolu ili tuoneshane ushababi dadeki, yani kidume anatamba vidume wa Chuga mnafyata mnaogopa bisbis na spoke za baiskeli???
Ngoja day moja nitaku tatu mzuka halafu wewe nakuiba na wewe kabisa.Njiro,. Sijasikia..
Nilisikiaga moja mwaka jana, hapo Tanesco 3 mzuka waliibia wanafunzi sijui.
😎 ujipangeNgoja day moja nitaku tatu mzuka halafu wewe nakuiba na wewe kabisa.
ISio kimandolu tu,Lemala,daraja mbili na Uzunguni bara bara ya blue stone,kwa week mbili mfululizo wameuawa watu watatu kwa kuchomwa visu na tatu mzuka,bara bara za uzunguni uporaji hufanyika mchana,Sijaona jitihada kuwadhibiti,Mbaya zaidi wameanza kugusa wageni.
hao siku wanishobokee na mtalimbo wangu ntatangazwa kwenye vyombo vya habari ntamshanawena Mtoto wa mtu ndo akili ziwakae sawa!!!!...mida kama hii wakulungwa ndio huwa tunatafuta chumba cha kupanga sifa nyumba isiwe na fence na dirisha liwe la wavu tu NO ALUMINIUM maeneo ya Kimandolu ili tuoneshane ushababi dadeki, yani kidume anatamba vidume wa Chuga mnafyata mnaogopa bisbis na spoke za baiskeli???
Kweli?😎 ujipange
Ukute ndio Adam mwenyewe huyo anapima upepo.Arusha ipi unayokaa wewe ? Matukio haya ya ujambazi yamekifthiri kila mahali . Watu wamepoteza ndugu zao pamoja na wengine kujeruhiwa alafu unakuja kuongea mashudu humu ndani . Kama hujapata athari ya haya yanayoendelea ni bora ukakaa kimya mzee
Unaachaje vocha na hela dukani?Usiku wa kuamkia ijumaa wametuibia.