IGP wa kizazi hiki ni kazi ya kisiasa

IGP wa kizazi hiki ni kazi ya kisiasa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
1629808770297.png


Kazi ya IGP imekuwa kama vile kazi ya siasa siku hizi. IGP ndiyo kiongozi wa kubambikiza kesi, kutesa wapinzani, kuzuia katiba isitekelezwe, kuongoza mauaji kama watu kupotea na kupigwa risasi.

Lakini kwasababu hii IGP mfano Sirro imefikia wakati ana dharau mawaziri kwasababu ya mila zake za kibinafsi za kudharau wanawake. Sirro katokea sehemu ambayo wanaume wanasifika kwa kupiga wanawake yaani jiulize hiyo ni sifa!

Tatizo ni kwamba hata akija IGP mwingine inabidi serikali iache polisi wawe polisi bila kutumika kwenye siasa badala ya sasa polisi wamekuwa kama maadui.
 
Hivyo hivyo bila kuingia kwenye siasa kizazi hiki U_IGP utausikia tu
 
Back
Top Bottom