Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia.
Tukio
Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe ya Kumkamatisha Mwanaume aliyehisi anatoka na Mkewe ambaye kwa sasa ni Mjamzito.
Siku ya Alhamisi iliyopita Mfanyabiashara huyu wa Soko la Kawe Bwana Cherehani alikuta Meseji ya Mwanaume ambaye alimshuku kuwa ana Mahusiano na Mkewe huyo katika Simu ya Mkewe huyo.
Baada ya Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani kukuta hivyo alianza Kumpiga Mkewe Mjamzito kisha akamlazimisha amtege awezavyo huyo Mwanaume wake wa pembeni ( ambaye pia ni Binamu wake ) wote wakiwa wanatokea Mkoani Tanga aje Nyumbani Kwake alikopanga eneo la Kawe Mnarani na aweze Kumdhuru.
Hivyo Mkewe alitekeleza alichoamriwa na Mumewe ( Mfanyabiashara Bwana Cherehani ) ambapo alimtega Hawara yake huyo kwa Kumwambia kuwa yuko peke yake aje Wafanye Ngono kwani Mumewe amesafiri.
Kweli Mwanaume ( Hawara ) akaingia Mtegoni na kwenda ambapo alipoingia tu Ndani ( Nyumbani kwa Mfanyabiashara huyo Bwana Cherehani ) ambapo alipokuwa Sebuleni Mumewe ( Bwana Cherehani ) akiwa na Kaka yake wakajitokeza na Kuanza kumfanyia Vitendo visivyo vya Kibinadamu na vya Ukatili mkubwa Usiovumilika na unaosikitisha.
Kilichotokea ni kwamba akiwa ameshaingia Mtegoni na kuwekwa Mtu Kati Mwanaume ( Hawara ) huyo aliambiwa na Mfanyabiashara huyo Bwana Cherehani kuwa achague Moja kati ya Kuingiliwa nao Kinyume na Maumbile au Ajeruhiwe vibaya ambapo Hawara ( Mwanaume ) huyo alichagua Kuingiliwa huko Kinyume na Maumbile.
Baada ya Kukubali kufanyiwa hivyo Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani na Kaka yake aliyekuwa na Jukumu la Kurekodi tukio zima walimwambia huyo Hawara ( Mwanaume ) kuwa hawawezi Kumuingilia huko Kinyume na Maumbile kwakuwa Wao ni Waislamu Safi ila Watamjeruhi vibaya ili liwe Fundisho kwa Wengine.
Kilichofuatia ni kwamba Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani alichukua Wembe na Kukata Sikio la Mwanaume ( Hawara ) huyo kisha akachukua Panga na Kukata Vidole viwili vya Hawara ( Mwanaume ) huyo na Kumjeruhi vibaya mpaka alipoenda Kujitibia japo naambiwa mpaka sasa hali yake ni mbaya.
IGP Wambura kwanini nasema Mfanyabiashara huyu wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani akamatwe upesi?
Ni kwamba baada ya kufanya Ukatili huu / huo huyu Mfanyabiashara Bwana Cherehani alibeba Sikio alilomkata na Vidole viwili alivyomkata na kuviweka katika Kitambaa ( Handkerchief ) huku akipita navyo Soko la Kawe na Kuwaonyesha Watu na akitamba kuwa Kamkomoa Hawara yake na hakuna wa Kumfanya Kitu kwani ana Hela na pia ana Waganga wengi wa Kienyeji wa Kumkinga.
IGP Wambura hili ni Tukio lililotokea Ijumaa iliyopita eneo la Kawe Mnarani na ndiyo Gumzo kwa sasa Sokoni Kawe ila inasikitisha kuona Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani ( ambaye ana Marafiki wengi ambao ni Askari Polisi Kituo chako cha Kawe ) akitamba kabisa kuwa hana Kosa na kwamba alichokifanya ni sahihi.
Nakiri kuwa Kitendo cha Hawara ( Mwanaume ).huyu Kutembea ( kuwa na Mahusiano ) na Mke wa Mtu ni Kosa ila Kisheria hakutakiwa Kufanyiwa Ukatili na Udhalilishaji huu wa Kukatwa Viungo vyake Mwilini ( Sikio na Vidole viwili ) huku Kaka yake Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani akiwa anarekodi Tukio zima kwa Simu na Kuanza Kuwaonyesha Watu, Marafiki zake na Wafanyabiashara wenzake Soko la Kawe.
IGP Wambura wala usipoteze muda wako kuandaa Timu ya Upelelezi ili Kujiridhisha bali nakuomba Amini na Niamini kwa 100% hiki nilichokileta hapa ili ukijue kwani ni Tukio ambalo nimelifuatilia Kiumakini na Kujiridhisha nalo kwa Taarifa na Ushahidi wote hivyo sasa nakuachia Wewe kuendelea na Hatua za Juu zaidi za Kisheria.
HATARI ninayoiona kwa huyu Mfanyabiashara Bwana Cherehani....
85% ya Watu, Wafanyabiashara wa Soko la Kawe wamekereka na Kukasirishwa na huu Ukatili na Udhalilishaji alioufanya Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani kiasi kwamba wapo ambao nao sasa wanapanga Kulipiza Kisasi hasa ikijulikana pia kuwa huyu Mfanyabiashara Bwana Cherehani nae ni Kinara / Bingwa wa Kutembea / Kulala na Wake za Watu huku akiwa ni Bingwa wa Kuoa, Kuzalisha, Kuacha na Kutelekeza Watoto inaosemekana kuwa kwa walivyo Wengi hata Basi za Coastal za Dar Moro zinaweza Kujaa na Wawili Watatu Kukosa Siti.
Cha Kushangaza zaidi....
IGP Wambura huyu Mfanyabiashara Bwana Cherehani alipomaliza Kumjeruhi vibaya na Kikatili Hawara ya Mkewe alihamia kwa Mkewe ambapo nae pia Amemchana Shingoni kwa Wembe na sasa Mkewe huyo anauguza Jeraha lake huku Mimba yake nayo ikimtesa kwani muda wowote anategemea Kujifungua Mtoto mwenye Baba Mcharanga Viwembe na Visu Masikio na Vidole vya Watu.
Kazi Kwenu IGP Wambura, Kamanda wa Polisi Dar es Salaam ACP Muliro, OCD Kinondoni na Mkuu wa Kituo cha Police Kawe Mimi Cognizant kama Mzalendo wa Ukweli na Malaika Ninayeabudiwa ( Adorable Angel ) nimeshawapeni hii Taarifa hivyo nasubiri Kuona Umakini wenu na Sheria Kufuatwa kwani Kisheria Mtu Kutembea na Viungo vya Mwilini vya Mwanadamu tena akivionyesha ni Tafsiri tosha ni Muuaji na alidhamiria Kuua hivyo hili kuwa ni Kosa la Jinai la Kujeruhi na Kutishia Uhai wa Mwanadamu.