DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumbe we jamaa ni mchuuzi hapo soko la kawe??
Sasa ujuaji wa mambo yote mtambuka yanayolikabili taifa hili kuanzia siasa, biashara, uchumi na michezo huwa unautoa wapi?
 
Wanapenda starehe wakati hawana uwezo nazo.

Ukikutwa kwenye nyumba ya mtu ni ngumu sana kujitetea.

Lakini hata hivyo Huyo hawara hata akipona bado watabanduana vizuri tu na Bwana wake.

Asichojua tu Mr Cherehani ni kuwa Mke wake anamdharau sana na Cherehani anaonekana ni mtu dhaifu mbele ya mke wake. Mke akishajua hivyo hawezi kukupenda na ndio maana Cherehani anamuogopa mkewe na kudeal na Hawara.

Usishangae huo mchepuko hata hospitali chakula anafanyiwa mpango na mke wa cherehani.
 
Ugomvi wa ndugu haswa hawa washambaa heheheee ni prolemaa I say! Just see what a judgement they’re made about it!?

What if ni wewe unamegewa kifala manzi yako na bouya mmoja uliemleta town! Like seriously haya mauaji ya ajabu hayatokwisha kwa kupenda kujipendekeza ili uonekane unamsaada sana kwenye ukoo wenu just focus and be rich on your own aaaah! https://jamii.app/JFUserGuide news by then!?
 
Unaposema kuwa umepitia mengi kwahiyo kumbe Mwenzetu nawe ulishawahi Kubananishwa na ukaruhusu Watu ( Masela ) Watafute Nishati ya Taka Ngumu kutoka Uani ( Nukudini ) Kwako?
Umeweka ufinyu sana kwenye uelewa labda Kwa sababu ya kiboga Cha mdigo kimeliwa basi kalipizeni msililie, mi huyo bwege wenu ningemtia uji na potassium saa 7 the next day mnazika pumbavu zenu mnatetea mgoni.
 
Dawa ya wagoni mpe uji wenye potassium mwambie ongeza nguvu tunakupa K-Vant umailize uondoke akimaliza uji mnamwacha akae lisaa mnamuacha mnamwambia kimbia bwege tumekusamahe. Dadeki kilomita tatu mbali mbwa mgoni!! pumbavu zake
 
Ka thread kangu Ka kuwishiwa birthday na vouda kamepigwa pini daah!!
 
tabia ya wivu kwa mwanamke wangu nimeiacha zamani sana sijui kwasababu nina hela siku hizi?... but mwanaume yoyote anayehangaika kumlinda mwanamke ni maskini wa akili zake na maisha yake.. ujingaaaa
 
Tamaa za ngono tena na mke wa mtu hadi nyumbani kwa mwenye mke ni suicide ya kujitakia! Hivi wanawake wote waliojaa duniani mke wa mtu wa nini?

Kuna kibopa mmoja kachapika majuzi hadi aibu sababu ya dharau kutongoza mke wa mtu akijua kabisa ni mke wa mtu. Kachomewa na huyo mke jamaa yake kamtokea lamba makofi ya kufa mtu mitamaa ya maana mtu na heshima zake mbele ya kadamnasi!

Good enough mwenye mke anaushahidi wa meseji tano za kijinga na jamaa alianza kama mteja wa duka la mke wa jamaa akatumia ujanja kunasa namba ya simu ya mke wa mtu!

Kibopa kataka kusaidiwa na rafiki yake wote wakala mingumi ya maana na vitambi vyao!! Jamaa akakamata fimbo piga kama nyoka hadi raia wakawambia kimbieni mtakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Fanya yote si mke wa mtu! Hata mumewe awe mnyonge vipi akijua lolote litakutokea!
 
Umekuja na hii ID baada ya kuwa banned siku ile umenitukana. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…