DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mi nakushauri wewe kwakua ndo umefanyiwa hivyo na huyo cherehani nenda kafungue kesi usiogope video zako kuvuja hata kama unasema alikurekodi ili ukae kimya, unasema hakukufanya kitu alikukata vidole tu lakin hiyo haitakusaidia ni bora uweke mambo wazi usaidiwe
 
Uchunguzi gani bob mpaka kufikia hitimisho kua hakufanyiwa ufirauni kama majibu yako ni hapana kwa maswali mawili hapo chini, huna unalojua bob.

1. ulikuwepo siku ya tukio ?
2. Ulimkagua tigo yake kwamba haikufanyiwa uharamia ?

Yani ati umemuuliza mkewe ndio ushahidi usio na mashaka ??!!, we jamaa
 
Au wewe ndo umefumania. Mkeo si anashinda ndani kama ndondocha ndo wanavyogongwa hivyo. Wewe ukiwa haupo mwenzio analiwa kama embe ng’ong’o
 
Kumbe popo.ma naye anafanya biashara ya kuuza vyakula soko la Kawe? ...Hongera kwake..ametoboa kinyama
 
Mtoa mada kwanini usiende mwenyewe police kuripoti ili kutia uzito?
 
Dada Genta kwa umbea kama James Delicious vile.
 
Kosa lake kubwa ni kutembea na viungo vya binadamu.
Kati ya Members waliojibu Kisomi na Kiakili huu Uzi unaweza kuwa ni wa Kwanza au wa Pili. Heko.

Na hata katika Maelezo yangu nimeanza Kumlaumu Jamaa ( Mjeruhiwa wa Mke wa Mtu ) kwa alichokifanya ila Kisheria na hata kwa Makosa ya Jinai nimemlaumu zaidi Mfanyabiashara Bwana Cherehani kwa Kujichukulia Sheria mkononi na Kujeruhi kwa Kukata Sikio na Vidole viwili na Akimdhalilisha kupitia Kaka yake kwa Kumchukua Video kisha Kuzunguka navyo ( Viungo hivyo alivyovikatakata ) vikiwa katika Kitambaa ( Handkerchief ) katika Soko la Kawe huku akiwaonyesha Watu na Marafiki zake na Akitamba huku akisema hakuna wa Kumfanya Kitu.

Tafadhali IGP Wambura kamata upesi huyu Mpumbavu kwani Kisheria alichokifanya na Kujeruhi kwa Kukusudia na kutaka Kuua Binadamu Mwenzake.

Mfumaniwaji nae Ahukumiwe kwa Upumbavu alioufanya na Kujitakia haya Matatizo ila Mfanyabiashara Bwana Cherehani nae Ahukumiwe kwa Ukatili na Udhalilishaji.
 
Shida wanadandia wake za watu then Wanakuja kutamba mitandaoni.
Hata humu mpo wengi nawaambiaje mjiandae kupokea Kilio sawa na Furaha.
#Fyekaaaa
 
Mimi nasimama na Cherehani Muuza Mihogo na hata ningekuwa mimi ni IGP nisingehangaika nae maana siyo kosa lake kosa ni la huyo mkatwa viungo!!!

Kwanini alienda kuvunja ndoa ya mtu na mtaani kuna wanawake chungu mbovu?
 
Niko wizara ya mambo ya ndan igp kaingia dakika 10 zilizopita nitamuonesha uzi wako awashughulikie
Asante sana Afande kwa Ushirikiano wako na Ubarikiwe mno.

Hata hivyo wakati IGP Wambura akiwa anapitia huu Uzi wangu Mfanyabiashara Bwana Cherehani inasemekana Katorioka / Kujificha japo tokea Siku ya Tukio ( Ijumaa iliyopita ) alikuwa Akitamba ( Akijimwambafai ) Sokoni Kawe anakouza Mihogo yake ya Jumla Jumla na Siku Mbili baadae alikuwa akisema hakuna wa Kumfanya Kitu akiamini kuwa ana Maaskari kadhaa wa Kawe Police Station kawaweka Mfukoni kwa Pesa zake Uchwara ambazo nae pia anazitumia kwa Kulala ( Kutembea ) hovyo na Wake za Watu huku Wengine akiwaambukiza Ugonjwa unaowasumbua WHO na Dunia tokea mwaka 1981.
 
Another Damn Fool.
Unaweza kuweka hapa sababu angalao moja ya kueleweka kwamba kwanini mimi mwanaume nimtongoze mkeo nikijua kabisa ni mke wako wa ndoa kisha niende mbali zaidi kuja kumlala kwenye chumba ulicholipia wewe kodi?”

Duniani kuna vitu vinakera sana na huwezi ku-deal navyo nje ya kuwafanyia ukatili wanaofanya ujinga huu
 
Mimi sitodiriki kumfanyia jambo lolote baya mwanaume mwenzangu kisa mwanamke/mke hawa wanawake wanashobo na hawajielewi
Hujawahi kuoa tulia tu,na usitukane mamba hujavuka MTO. Kwa mawazo yako unadhani kuna MTU huwa anapenda kumfanyia MTU ubaya.
 
Shida yako una-panic,lugha mbovu hazisaidii toa hoja kwanini unajua mwanamke ni mke wa mtu halafu tena unaenda kumkaza?
Huyo jamaa kilaza toka lini alijua kutetea hoja? Huwa ana panic sana na ataanza kutukana tu. Alifundishwa kuwa akikosolewa atukane.... Ndo maana ile ID yake nyingine ilifungiwa. Nadhani malezi pia yalikuwa changamoto...
 
Damn sick head black ass nigga who thinks is an FBI agent just by collecting words and you call that an investigation.

Ndugu yako kaliwa tundu and that is a fact you stupid brain cant axcept
Safi sana umempa za chembe. The boy is very stupid at his 20s age.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…