Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ya ngoswe mwachie ngoswe,subiri na wewe uoe utombewe Mkeo kisha umepleke mgoni wako polisi kuwa amekutombea Mkeo.Nonsensical and Rubbish.
Aisee.... Cherehani kamwonea huruma sana jamaa.... Yaani tena anakuja kumtia mke wa mtu nyumbani kwa mumewe? Alipaswa amuue kabisa au amkate mashine siyo tu sikio.Ya ngoswe mwachie ngoswe,subiri na wewe uoe utombewe Mkeo kisha umepleke mgoni wako polisi kuwa amekutombea Mkeo.
Nadhani huyo nduguyo au jamaa yako unayemtetea hapa na ulimwengu wote unafahamu madhara ya kutembea na Mke wa MTU.
Tena huyo cherehani ana huruma sana,
Hawa watu wanaouwana kwa kugombea sh100?Hujawahi kuoa tulia tu,na usitukane mamba hujavuka MTO. Kwa mawazo yako unadhani kuna MTU huwa anapenda kumfanyia MTU ubaya.
Uko sahihi kwa 100% lakini je, ndiyo iwe Haki na Ruhusa kwa mwenye Mke Kujeruhi vibaya Mgoni Sikio na Vidole viwili kwa Kuvikata huku akivionyesha kwa Watu Sokoni na Kumdhalilisha kwa Kumchukua ( Kumpiga ) Picha akiwa anajeruhiwa hivyo?Waachage wake za watu sumu.
Tena binamu yake.Habari inasikitisha sana.
Japo huyo mwanaume (hawara) ana matatizo ya akili.
Anakubali vipi kutoka na mke wa mtu na wadada/wamama single wamejaa tele?
Baadhi ya Wanaume ni🐄
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba Katorioka Nje ya Kawe huku akiwa amewaweka Chawa wake wawe wanampa Updates za Upumbavu Usiovumilika alioufanya.Halafu bado yupo tu hapo badala ya kuondoka!
Hajui akumulikae mchana usiku anakuchoma?!
Mimi sitodiriki kumfanyia jambo lolote baya mwanaume mwenzangu kisa mwanamke/mke hawa wanawake wanashobo na hawajielewi
Nilichoandika au hiyo dhana ya kutamani wake za watu ndio rubbish?Nonsensical and Rubbish.
1. Mfanyabiashara Bwana Cherehani Katorioka Kawe kwa sasa ila ameshaanza KufuatiliwaMlete mrejesho akikamatwa.
Huyo bina.u nae fala sana
Its very normal for Damn Fools to support each other.
Its normal for Damn Fools to support each other.
Kugongewa inauma
Kamgonge mke wa IGP uone bastola itakavyokunyonya mate
Very dangerous Bora hata angetega mtego wa kumuua tu, sema kupigiwa mke ni noma sana sana, Bora angemtia sumu ya kumuua taratibu, angempa uji au mtori wenye potassium mapema sana