Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camilius Wambura amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa ambapo amemuhamisha SACP Henry Mwaibambe ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi wa Geita kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga.
SACP Mwaibambe anachukua nafasi ya ACP Safia Shomary ambaye ameahamishiwa Mkoa wa Geita.
Pia, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Richard Ngole amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake imechukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji.