Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
Kwahiyo baada ya deal la Tanga kusanuka ndio kahamishwa chap haraka? Hii nchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi hakuna helaKule unaenda kupiga mihayo na kusoma magazeti, kuna mmoja kipindi cha magufuli alipigwa chini akaletwa makao makuu alkua anakuja car wash asubuhi kuosha gari yake uku akipiga story mbili tatu kijiweni kusogeza mda hadi samia alipoingia ndo akaapata tena uRPC, makao makuu hamna cha viete au bodygurd
Hamna yani ni mateso balaaKiufupi hakuna hela
Kuna mwamba mmoja hivi now n OC CID Kilindi huyo ni Nyokoo kwenye mishe za kudhibiti Hawa mbwa.Huyo wa rufiji ameletwa temeke sababu ya OP KIBITI
Hiyo aliyeachia watuhumiwa ni afisa upelelezi sio RPCWa Tanga kaachia watuhumiwa pasipo taratibu kufuatwa
Most of them, to be More PreciselyIf investigated thoroughly, some of them are criminals
Sasa kashfa si ya Rpc hiyo, huyo jongo mtoto wa Mjini ana kampuni yake ya ujenzi janja janja kila leo kazi zipo chini ya viwango upigaji mwingiHiyo aliyeachia watuhumiwa ni afisa upelelezi sio RPC
NaaaamNawaonea huruma hao watoto wa Temeke. Hiyo kete ngumu.
..panya road hawawezi kuishi.
..panya road ni matokeo ya hali mbaya ya uchumi.
Punguza chuki uwe una post vitu vyenye mantiki
Tanga ukiwa na mshiko unaweza fanya chochote kile bila ya kufuata utaratibu! hata Mimi nimeshuhudia hayo!!Wa Tanga kaachia watuhumiwa pasipo taratibu kufuatwa
Kivipi hakuna hela wakati mshahara wake anaendelea kupata Kama kawaida!!? Au unamaanisha HQ hakuna rushwa!!??Kiufupi hakuna hela
Kivipi hakuna hela wakati mshahara wake anaendelea kupata Kama kawaida!!? Au unamaanisha HQ hakuna rushwa!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kivipi hakuna hela wakati mshahara wake anaendelea kupata Kama kawaida!!? Au unamaanisha HQ hakuna rushwa!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Akiwa RPC somewhere anakuwa na nguvu sana, Polisi wote katika mkoa wanakuwa chini yake, yeye ndo mwenye cheo kikubwa mkoa mzima.
Kila askari katika mkoa huo ana salute kwake,
Vimizigo mbalimbali kutoka kwa wakuu wa vituo vya Wilaya (OCDs na OCCID) anapata sana, plus vimilungula vingiii.
Sasa ngoma inakuwa ngumu akienda HQ kule cheo chake anaonekana bwana mdogo tu, alaf anawakuta wakongwe wa pale wanajua namna ya kucheza na madokezo ye anabaki kupiga miayo tu.
Sijui kama nasomeka??
Mkubwaaa umesomeka sanaAkiwa RPC somewhere anakuwa na nguvu sana, Polisi wote katika mkoa wanakuwa chini yake, yeye ndo mwenye cheo kikubwa mkoa mzima.
Kila askari katika mkoa huo ana salute kwake,
Vimizigo mbalimbali kutoka kwa wakuu wa vituo vya Wilaya (OCDs na OCCID) anapata sana, plus vimilungula vingiii.
Sasa ngoma inakuwa ngumu akienda HQ kule cheo chake anaonekana bwana mdogo tu, alaf anawakuta wakongwe wa pale wanajua namna ya kucheza na madokezo ye anabaki kupiga miayo tu.
Sijui kama nasomeka??
Hii yote ni Rushwa,sema wwe umeiremba sana,hadi inaonekana ma RPC wanachopewa ni Kama takrima tu wakati hiyo ndiyo Rushwa yenyewe!!Akiwa RPC somewhere anakuwa na nguvu sana, Polisi wote katika mkoa wanakuwa chini yake, yeye ndo mwenye cheo kikubwa mkoa mzima.
Kila askari katika mkoa huo ana salute kwake,
Vimizigo mbalimbali kutoka kwa wakuu wa vituo vya Wilaya (OCDs na OCCID) anapata sana, plus vimilungula vingiii.
Sasa ngoma inakuwa ngumu akienda HQ kule cheo chake anaonekana bwana mdogo tu, alaf anawakuta wakongwe wa pale wanajua namna ya kucheza na madokezo ye anabaki kupiga miayo tu.
Sijui kama nasomeka??
Ni kweli hawawezi kuisha panya road ni matokeo ya kufukuza wamachinga kwa kukurupuka na kuwapotezea mitaji yao, vijana wengi walikuwa wanawaza kufanya biashara ndogo ndogo kwaiyo kuwaza uharifu ilikuwa ngumu...panya road hawawezi kuishi.
..panya road ni matokeo ya hali mbaya ya uchumi.