Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Sawa mkuu Fumua hili jeshi tulisuke upya, hata uniforms zao ni ovyo kabisa, hii recying haitusaidii chochote, hivi new generation wapo wapi?upuuzi huu unasaidia katika kudhibiti uhalifU? najaribu kuwaza kama hizo hamisha hamisha zao ziliwahi kuzaa matunda hata sehemu moja. Jeshi linatakiwa kufumuliwa wawekwe watu wenye akili na wanaoweza kufanya kazi kwa kutumia akili na sio nguvu
Nawaonea huruma hao watoto wa Temeke. Hiyo kete ngumu.Huyo wa rufiji ameletwa temeke sababu ya OP KIBITI
Kuweka kizazi kipya itahitaji miaka 5 kuwapika hao wapyaupuuzi huu unasaidia katika kudhibiti uhalifU? najaribu kuwaza kama hizo hamisha hamisha zao ziliwahi kuzaa matunda hata sehemu moja. Jeshi linatakiwa kufumuliwa wawekwe watu wenye akili na wanaoweza kufanya kazi kwa kutumia akili na sio nguvu
Na makao ni kubaya kwakweliKunbe huwa wanahamishiwa makao makuu
Yah..Kuna magazeti ya kutosha pale HQ.Kunbe huwa wanahamishiwa makao makuu
upuuzi huu unasaidia katika kudhibiti uhalifU? najaribu kuwaza kama hizo hamisha hamisha zao ziliwahi kuzaa matunda hata sehemu moja. Jeshi linatakiwa kufumuliwa wawekwe watu wenye akili na wanaoweza kufanya kazi kwa kutumia akili na sio nguvu
OP Panyaroad lazima waishe wooote
Nitarudi..
Tukusikilize wewe janjaweed!!!upuuzi huu unasaidia katika kudhibiti uhalifU? najaribu kuwaza kama hizo hamisha hamisha zao ziliwahi kuzaa matunda hata sehemu moja. Jeshi linatakiwa kufumuliwa wawekwe watu wenye akili na wanaoweza kufanya kazi kwa kutumia akili na sio nguvu
na kweli ni upuuziupuuzi huu