Sasa mkuu afisa upelelezi hawezi kuachia watuhumiwa bila bosi wake kuwa na taarifa tena kwa tukio kubwa kama hilo.Hiyo aliyeachia watuhumiwa ni afisa upelelezi sio RPC
Tafuta hela, katiba haitakuletea helateua tengua tengua teua.suluhisho ni katiba mpya tu.
Umesomeka vizuri sana mkuu.Akiwa RPC somewhere anakuwa na nguvu sana, Polisi wote katika mkoa wanakuwa chini yake, yeye ndo mwenye cheo kikubwa mkoa mzima.
Kila askari katika mkoa huo ana salute kwake,
Vimizigo mbalimbali kutoka kwa wakuu wa vituo vya Wilaya (OCDs na OCCID) anapata sana, plus vimilungula vingiii.
Sasa ngoma inakuwa ngumu akienda HQ kule cheo chake anaonekana bwana mdogo tu, alaf anawakuta wakongwe wa pale wanajua namna ya kucheza na madokezo ye anabaki kupiga miayo tu.
Sijui kama nasomeka??
Hayo mafile Wenyewe wanaita MagazetiHQ utampa nani rushwa? Hakuna raia wanaodeal nao direct kule ni mafile na madokezo tu ya kutosha na vikao vya kiofisi…
Siwaelewaga Kuna wakt mnalisifia jeshi kwa kufanya Kaz ngumu kubaini wahalifu mmekuja Tena mnasema lifumuliwe hakn jeshi Bora Africa zote zimefananaupuuzi huu unasaidia katika kudhibiti uhalifU? najaribu kuwaza kama hizo hamisha hamisha zao ziliwahi kuzaa matunda hata sehemu moja. Jeshi linatakiwa kufumuliwa wawekwe watu wenye akili na wanaoweza kufanya kazi kwa kutumia akili na sio nguvu
Hyo katib inamaliza panya roadteua tengua tengua teua.suluhisho ni katiba mpya tu.
Sijawahi kusifia hizo takataka zinazoomba hela barabarani kwa ajili ya Kiwi never, tafuta uzi ambao nimesifia hao kenge ama na wewe njagu? majitu hayana akili hayo hata kidogoSiwaelewaga Kuna wakt mnalisifia jeshi kwa kufanya Kaz ngumu kubaini wahalifu mmekuja Tena mnasema lifumuliwe hakn jeshi Bora Africa zote zimefanana
Unafumua uliunde vip wakt watu Ni walewale uliwafumua Ni ngumu Sana hi kitu siku mam akilifuruga jeshi ndio ccm imepotea kusiko julikana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hamna kitu hapoMkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camilius Wambura amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa ambapo amemuhamisha SACP Henry Mwaibambe ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi wa Geita kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga.
SACP Mwaibambe anachukua nafasi ya ACP Safia Shomary ambaye ameahamishiwa Mkoa wa Geita.
Pia, aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Richard Ngole amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake imechukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji.
View attachment 2362704