BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Kama ukipata ka upenyo kokote ni bora kuhama nchi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄😄Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari...
Hivi unaweza kusema nyumbani kwangu ni salama wakati watoto wako hawajarudi home siku kadhaa na hujui wapo wapi?!Kauli ya IGP Wambura kwamba "nchi ni salama kabisa" inaweza kuangaliwa kwa muktadha tofauti.uwepo wa matukio ya mauaji au uhalifu mwingine unaweza kuashiria kwamba changamoto bado zipo katika baadhi ya maeneo au hali fulani.
Kusema "nchi ni salama" kunaweza kuwa na maana pana, lakini inatakiwa pia kutambua kuwa kuna uhalifu wa mara kwa mara ambao unahitaji kushughulikiwa kwa ufanisi zaidi. Ni muhimu kwa vyombo vya usalama kuendelea kuboresha mikakati yao ya kuhakikisha usalama na kutatua matatizo kama haya yanapotokea ili kudumisha amani ya kweli.
Hivi matukio ya kutekwa ya watu watano nayo unaweza kusema usalama wa nchi uko hatarini? Nenda hapo SA na USA uone matukio ya kijambazi lakini bado wanasema nchi zao ziko shwari. Marekani matukio ya kijambazi ni zaidi 1,000 kwa siku. SA ni zaidi ya 100 kwa siku. Wakati hapa TZ matukio ya Kijambazi ni chini ya 10 kwa mwezi then useme usalama wa TZ ni wakutisha? Mimi sasa hivi nipo uchochoroni na kunywa pombe salama salimini. Nawapongeza sana vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuifanya TZ salama salimini.Huyu kumbe ni miongoni mwa hawa mashetani. Kwake hawa wanaotekwa na kuuawa na kwale wa porini, kwa hiyo anafurahia kwa vile wanamletea kitoweo.
Wewe ukabila utakumaliza na lazima utakuwa upo hapo PTS MoshiTAKUKURU: Majina ya Waliofanikiwa kuingilia Mkoa wa Kilimanjaro,kupangiwa Chuo cha Jeshi la polisi Moshi majina yachunguzwe
Inasikitisha sana, ila baadhi ya waliofanikiwa mchezo huo,kuingilia mkoa wenye wasomi wengi majina ni haya hapa. Walio ingilia Mkoa wa Mara, majina ya masawe, mushi , Mkenda, Lasway, Sway hayakuweza kuonekana . Kuna kitu cha kujiuliza na kujifunza na kuna dalili kuwa majina haya yalitumwa chuo...www.jamiiforums.com
Wewe ukabila utakumaliza na lazima utakuwa upo hapo PTS Moshi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo vya usalama na raia wapenda amani kuwezesha hilo.
IGP Wambura ameyasema hayo katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi unaoanza leo Septemba 12, 2024 mkoani Kilimanjaro.Mkutano ambao utajadili masuala ya kisera na kuweka mikakati ya kiutendaji ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao.
Kauli mbiu ni “Huduma Bora za Kipolisi kwa Umma Zitapatikana kwa Kubadilika Kifikra, Usimamizi wa Sheria na Matumizi ya TEHAMA”Naye Naibu Waziri Sillo amewapongeza makamanda wa Jeshi la Polisi katika kuhakikisha nchi inakuwa shwari, lakini vilevile amempongeza IGP kwa kuufanya mkutano wa mwaka huu wa kipekee kwa kuunganisha na kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi kinachotarajiwa kusherekewa Septemba 17, 2024.
Hawa ndo watekaji wenyewe