IGP Wambura: Hali ya Usalama nchini ni Shwari

Kauli ya IGP Wambura kwamba "nchi ni salama kabisa" inaweza kuangaliwa kwa muktadha tofauti.uwepo wa matukio ya mauaji au uhalifu mwingine unaweza kuashiria kwamba changamoto bado zipo katika baadhi ya maeneo au hali fulani.

Kusema "nchi ni salama" kunaweza kuwa na maana pana, lakini inatakiwa pia kutambua kuwa kuna uhalifu wa mara kwa mara ambao unahitaji kushughulikiwa kwa ufanisi zaidi. Ni muhimu kwa vyombo vya usalama kuendelea kuboresha mikakati yao ya kuhakikisha usalama na kutatua matatizo kama haya yanapotokea ili kudumisha amani ya kweli.
 
Huyu kumbe ni miongoni mwa hawa mashetani. Kwake hawa wanaotekwa na kuuawa na kwale wa porini, kwa hiyo anafurahia kwa vile wanamletea kitoweo.
 
Sasa tunaelewa kuwa kelele zote za utekaji kupotea watu si kitu ni maneno ya kutengenezwa. Hali ni swari!
 
Elimu ya huyo boss wa polishi na Juma lokole Ina tofauti gani?

Naona kama mawazo yao yanalandana.

Nitaongea na dullah makabila aendelee kutoa tuzo.
 
Hivi unaweza kusema nyumbani kwangu ni salama wakati watoto wako hawajarudi home siku kadhaa na hujui wapo wapi?!
 
Huyu kumbe ni miongoni mwa hawa mashetani. Kwake hawa wanaotekwa na kuuawa na kwale wa porini, kwa hiyo anafurahia kwa vile wanamletea kitoweo.
Hivi matukio ya kutekwa ya watu watano nayo unaweza kusema usalama wa nchi uko hatarini? Nenda hapo SA na USA uone matukio ya kijambazi lakini bado wanasema nchi zao ziko shwari. Marekani matukio ya kijambazi ni zaidi 1,000 kwa siku. SA ni zaidi ya 100 kwa siku. Wakati hapa TZ matukio ya Kijambazi ni chini ya 10 kwa mwezi then useme usalama wa TZ ni wakutisha? Mimi sasa hivi nipo uchochoroni na kunywa pombe salama salimini. Nawapongeza sana vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuifanya TZ salama salimini.
 
Wewe ukabila utakumaliza na lazima utakuwa upo hapo PTS Moshi
 
Hawa ndo watekaji wenyewe

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.

Aidha, Bw. Osama bin Laden alipokea lawama nyingi Sana kutoka kwa Serikali ya Marekani na CIA baada ya kutekeleza mashambulizi yake ya kutumia ndege, mashambulizi yanayojulikana sana kwa jina la September Eleven ya Mwaka 2001. Katika kujibu mapigo ya lawama hizo Osama bin Laden aliwajibu Marekani hivi:-

"If you undermine our security, we undermine yours too, and if you kill our people we kill yours too. The choice is yours."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…