IGP Wambura ni kweli jeshi lako limeshindwa kuwakamata hawa watu kwa Utapeli na udhalilishaji wanaoufanya kwa Watanzania?

IGP Wambura ni kweli jeshi lako limeshindwa kuwakamata hawa watu kwa Utapeli na udhalilishaji wanaoufanya kwa Watanzania?

Kwanza kinacho nishangaza Namba zetu za simu wanatoa wapi hawa matapeli Je serikalini hakuna watu wa Haiti je TCRA inafanya kazigani Hapa nchini. Ccm Achieni nchi imewashinda.
Hizi app zao zina masharti ya kuku bali kuaccess contact from our phones,ndio maana wana uwezo kupata namba za watu.
 
Acha kujiliza liza kutafuta huruma ya hapa JF. Eti ndugu yako alipigiwa simu kubembelezwa akope!!! What a shame, kaa chini na ndugu na familia yako waeleze DUNIA YA SASA NI YA KIBEPARI hakuna kitu cha bure au dezo dezo. Kabla ya kupokea chochote afikirie na kujiridhisha mara nyingi awezavyo athari za anachopokea. Otherwise ujinga wa ndugu yako kutozingatia vigezo na masharti ya alichopokea siyo excuse wala huruma kwake kutochukuliwa hatua. Angeona hiyo elfu 34 ni ndogo angeirejesha basi.
Dawa ya Deni ni kulipa na ZINGATIA KUKOPA KWA SABABU MAALUM.
Umejibu kwa makasiriko sana mwana Pesa X. Kwanini watushirikishe sisi kwa kututumia sms kuwa kuna mtu kakopa kwao wakati anakopa hajatushirikisha? Wapumbavu wakubwa nyie.
Screenshot_20240610_192546_Messages.jpg
 
Kwanza kinacho nishangaza Namba zetu za simu wanatoa wapi hawa matapeli Je serikalini hakuna watu wa Haiti je TCRA inafanya kazigani Hapa nchini. Ccm Achieni nchi imewashinda.
WAKATI UNAJISAJILI WANAULJZA ALLOW COMP TO ACCESSS UR PHONE KIBU N NDIO UKIJIBU HAPANA HUPATI
BIASHARA IMEISHA HAPO PITILIXA SIKUMOJA UONE WEEEEEE
 
DAWA AYAHAAAWA JAMAAA OMBA KAMA KAMPUN 5 SIKUMOJA WAPIGE ZA MAANA FLASH LINE ZAO
 
Back
Top Bottom