Sacrifice7
Senior Member
- Jun 5, 2024
- 149
- 146
Hawa watu wabaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi app zao zina masharti ya kuku bali kuaccess contact from our phones,ndio maana wana uwezo kupata namba za watu.Kwanza kinacho nishangaza Namba zetu za simu wanatoa wapi hawa matapeli Je serikalini hakuna watu wa Haiti je TCRA inafanya kazigani Hapa nchini. Ccm Achieni nchi imewashinda.
Umejibu kwa makasiriko sana mwana Pesa X. Kwanini watushirikishe sisi kwa kututumia sms kuwa kuna mtu kakopa kwao wakati anakopa hajatushirikisha? Wapumbavu wakubwa nyie.Acha kujiliza liza kutafuta huruma ya hapa JF. Eti ndugu yako alipigiwa simu kubembelezwa akope!!! What a shame, kaa chini na ndugu na familia yako waeleze DUNIA YA SASA NI YA KIBEPARI hakuna kitu cha bure au dezo dezo. Kabla ya kupokea chochote afikirie na kujiridhisha mara nyingi awezavyo athari za anachopokea. Otherwise ujinga wa ndugu yako kutozingatia vigezo na masharti ya alichopokea siyo excuse wala huruma kwake kutochukuliwa hatua. Angeona hiyo elfu 34 ni ndogo angeirejesha basi.
Dawa ya Deni ni kulipa na ZINGATIA KUKOPA KWA SABABU MAALUM.
WAKATI UNAJISAJILI WANAULJZA ALLOW COMP TO ACCESSS UR PHONE KIBU N NDIO UKIJIBU HAPANA HUPATIKwanza kinacho nishangaza Namba zetu za simu wanatoa wapi hawa matapeli Je serikalini hakuna watu wa Haiti je TCRA inafanya kazigani Hapa nchini. Ccm Achieni nchi imewashinda.