Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Kama hawaoni kinachoendelea.. Swali Bwana Wambura, kinachoendelea ni nini? Mliowashika juzi mmewaua? kama ulivyoua MKIRU?Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ametoa onyo kwa wahalifu wote kwani wakati huu ni wakati mbaya sana kwao.
Wambura ameyasea hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ljumaa Septemba 16, 2022 kwenye kikao cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masaun kuhusu hali ya usalama nchini.
View attachment 2358932
Aaaggh Wapi, siamini kabisaHuyu IGP hanaga utani kabisa atawamaliza wote ni swala la muda waende wakaulize kule kanda ya kaskazini kwenye mkoa mmojawapo alipokuwa anafanya kazi watajua balaa lake Mshana Jr Soma Tena Elli fundi bishoo Tajiri Kichwa Utingo green rajab bagamoyo Carrasco putin Kennedy Ulimakafu OSEFUKANY
Aaaggh Wapi, siamini kabisaHuyu IGP hanaga utani kabisa atawamaliza wote ni swala la muda waende wakaulize kule kanda ya kaskazini kwenye mkoa mmojawapo alipokuwa anafanya kazi watajua balaa lake Mshana Jr Soma Tena Elli fundi bishoo Tajiri Kichwa Utingo green rajab bagamoyo Carrasco putin Kennedy Ulimakafu OSEFUKANY
KeyserSozeAaaggh Wapi, siamini kabisa
π³π³π³Hakuna aliye juu ya sheria na nchi inabidi iendeshwe kisheria, huwezi kukurupuka na kuanza ku arrest watu bila ya kuwa linked na crime scene kuna watu makatili mno humu JF, mijitu anayofurahia damu ya binadamu, igp fuata sheria, arrest only when una case mkononi sio mihemko, jeshi la police linahitaji kuundwa upya ili liendane na technology ya sasa, utumiaji wa mabavu umeshapitwa na wakati
Atawamaliza wote we subirlia tu Mshana Jr Soma Tena OSEFUKANY mjingamimi Matola Utingo green rajab Carrasco putin Get Rich Ulimakafu bagamoyo mawardat cocasticAaaggh Wapi, siamini kabisa
Wahalifu pekee au kuna collateral damage..Atawamaliza wote we subirlia tu Mshana Jr Soma Tena OSEFUKANY mjingamimi Matola Utingo green rajab Carrasco putin Get Rich Ulimakafu bagamoyo
Sio kirahisi watu wa dar vichwa vibovuHuyu IGP hanaga utani kabisa atawamaliza wote ni swala la muda waende wakaulize kule kanda ya kaskazini kwenye mkoa mmojawapo alipokuwa anafanya kazi watajua balaa lake Mshana Jr Soma Tena Elli fundi bishoo Tajiri Kichwa Utingo green rajab bagamoyo Carrasco putin Kennedy Ulimakafu OSEFUKANY
Mimi najiuliza, inakuwaje kundi la vijana 40 wanajikusanya Temeke, wengine Kawe, Tabata n.k na kwenda kwa mguu kupiga tukio na wanatawanyika na kwenda kukutana tena kugawana vitu bila kujulikana?Kushinda au kushindwa ni kupi ?!!! Kwani haya ni mashindano....
Nadhani hawa watu wanasahau kwamba crime prevention na kuwa pro-active kwa kutoa elimu kuwa na inteligensia na karibu na wadau (na sio maadui wa raia) ndio kushinda kwao..., Huwezi ukaniambia unashinda wakati uhalifu unaongezeka na wewe kujisifia ni wangapi umemwaweka lupango