MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kukamata Watu (hasa Vijana) haraka haraka na Kuwahisi ndiyo Panya Road kisha Kuwaua sidhani kama ni Usahihi na Uweledi hasa katika Kuwamaliza hawa wahalifu.
Mataifa yote yenye Majeshi ya Polisi yanayojitambua huwa hayakurupuki Kuua Mhalifu / Wahalifu bila ya kumfanyia / kuwafanyia Interrogation ili kuweka Kujua Kiini na Kukabiliana nao ili Kuukomesha (Kuumaliza) kabisa.
Tusikurupuke kwa Kuua hovyo Watu (Panya Road) ili kumfurahisha Mheshimiwa Rais Samia awaone mnafanya Kazi bali cheleweni Kuwaua ili muwajue vyema (Kihistoria, Mafunzo yao, Mfadhili wao na Nguvu zao) kisha muwamalize Kiukamilifu ili wawe Historia kwa Tanzania na liwe Funzo (Fundisho) kwa Wengine.
IGP Wambura chukua huu Ushauri!!