IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

Leo mtoa Ushauri nimekuwa Panya Road?

Nyerere aliwatambua hao mkuu, wala wasikupe taabu:

IMG_20220916_233133_436.jpg
 
Halafu mleta mada anazungumzia mambo kama haya wanaibuka wapuuzi wanamuona yeye ndio panya road! Kuna watu wanafikiri wako immune to these barbaric actions but its just a matter of time before they find themselves on the wrong end of this BS!

Nchi inapita kipindi kigumu sana:

IMG_20220914_180443_804.jpg
 
Kuna wanaotoa pongezi kwa mauaji haya, ngoja tuone.
Hao wanaotoa pongezi ni wale kundi la wajinga waliopo nchi hii.Kwasababu hii ni nchi inatakiwa iende kwa misingi na sheria zake sio kufanya mambo kiholela.Na jeshi la polisi ni chombo kinachopaswa kufanya kazi kwa nidhamu na weledi wa hali ya juu kwasababu ni chombo chenye mamlaka kisheria na kina miiko yake ya kazi.Tukiruhusu matumizi ya silaha yasiyo dhibitiwa tutajikuta tumetengeneza kitu kibaya sana ndani ya jeshi la polisi na kwawananchi kwa ujumla.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wajinga na wapumbavu wakikuelewa usiache kutuletea mrejesho.

Nilidhani katiba mpya ilikuwa ikinukia. Kwa hakika si kwa ukubwa wa magenge haya:

IMG_20220914_180443_804.jpg
 
99% ya Watu mlionijibu na kuchangia nilichokiandika hapa mna Udhaifu wa Ubongo ( Akili ) nikimaamisha ni 'damn Fools', kwani hakuna mahala nimesema kuwa Polisi Wasiue / Wasiwauwe hawa Panya Road ila nimekuwa very clear kuwa kabla ya Kuuliwa ( Kuwauwa ) wahakikishe pia wameshafanya Interrogation ya kutosha ili Kuwamaliza vyema hapa ( hapo ) Kosa langu ni nini?

Hamna Akili mnanipotezea tu muda!!
99% ya Bandiko lako pamoja na unacho kidai ni ya kimbari.
Unajipotezea mwenyewe akili kwa kuleta uzi kama huu.
Tijafakari na maneno yako
 
Back
Top Bottom