IGP Wambura zuia Polisi kuua haraka wanaohisiwa ni 'Panya Road', himiza 'Interrogation' ili kujua Kiini chao

Halafu mleta mada anazungumzia mambo kama haya wanaibuka wapuuzi wanamuona yeye ndio panya road! Kuna watu wanafikiri wako immune to these barbaric actions but its just a matter of time before they find themselves on the wrong end of this BS!

Nchi inapita kipindi kigumu sana:

 
Kuna wanaotoa pongezi kwa mauaji haya, ngoja tuone.
Hao wanaotoa pongezi ni wale kundi la wajinga waliopo nchi hii.Kwasababu hii ni nchi inatakiwa iende kwa misingi na sheria zake sio kufanya mambo kiholela.Na jeshi la polisi ni chombo kinachopaswa kufanya kazi kwa nidhamu na weledi wa hali ya juu kwasababu ni chombo chenye mamlaka kisheria na kina miiko yake ya kazi.Tukiruhusu matumizi ya silaha yasiyo dhibitiwa tutajikuta tumetengeneza kitu kibaya sana ndani ya jeshi la polisi na kwawananchi kwa ujumla.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Wajinga na wapumbavu wakikuelewa usiache kutuletea mrejesho.

Nilidhani katiba mpya ilikuwa ikinukia. Kwa hakika si kwa ukubwa wa magenge haya:

 
99% ya Bandiko lako pamoja na unacho kidai ni ya kimbari.
Unajipotezea mwenyewe akili kwa kuleta uzi kama huu.
Tijafakari na maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…