Ihefu SC yabadili jina baada ya kubadili makazi, sasa yaitwa Singida Black Stars SC

Ihefu SC yabadili jina baada ya kubadili makazi, sasa yaitwa Singida Black Stars SC

Namshukuru sana Mb Rais kwa kufanikisha hili. Lakini hiki ni kituko unabadili vp jina na makazi ya timu katikati ya msimu?? Tunaomba Mh Rais aliangalie hili
 
Mbogo Maji Mpaka Kujiita Hivyo Lazima Ukata Umetawala Watu Wameiuza Sasa
 
Kila mtu kwenye uchaguzi anamtumia mbinu zake. Ni sawa na ku beti zipo mbinu zitakazoshindwa nyingine zitafanikiwa. Maumivu na furaha ni baada ya matokeo
 
Kwanini haya majina ya Singida yanabadilishwa kila kukicha!? Mara singida hivi mara vile! Bora mgeacha tu Ihefu "wanambogo maji" tulikuwa tumeshalizoea
 
Back
Top Bottom