Ihefu SC yabadili jina baada ya kubadili makazi, sasa yaitwa Singida Black Stars SC

Ihefu SC yabadili jina baada ya kubadili makazi, sasa yaitwa Singida Black Stars SC

Tanzania yangu.

Huyu mwigulu aliandika kwenye mawe na madaraja Yote Tanzania
MEIGULU RAIS 2015.

Tuna mawaziri Vichaa kabisaaaaa......
 
sasa tutakuwa na timu ngapi zinazojiita singida..?
kama tu ubunifu wa jina unawapiga chenga huko uwanjani si ndo zero kabisa...!!!
hebu tafuteni jina jengine aidha kwa kuangalia utamaduni wa watu wa singida,kabila au lugha ya kabila linalipatikana singida au sifa yoyote sio kutulimbikizia mijina ya jina moja tushindwe kutofautisha hizo timu!.
 
Tanzania yangu.

Huyu mwigulu aliandika kwenye mawe na madaraja Yote Tanzania
MEIGULU RAIS 2015.

Tuna mawaziri Vichaa kabisaaaaa......
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Umeingia period [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Is a biznes game braza. Acha wafanya biashara wafanye biashara , wako busy kutafuta namna wanaweza kutimiza malengo yao japo sis wengine tuta watafsiri tofauti
MWigulu
Is a biznes game braza. Acha wafanya biashara wafanye biashara , wako busy kutafuta namna wanaweza kutimiza malengo yao japo sis wengine tuta watafsiri tofauti
Mwigulu ana biashara gani yule mbwiga,anachofanya ni money laundering tu,TRA hawamtambui kama taxi payer ila ni bilionea
 
Mambo ya kuuza, kununua , kuuza na kununua timu za Mpira yana utakatashaji pesa haramu ndani yake. Takukuru wanastahili kuchunguza kwa kina
 
Kimechobaki ni kuitwa singida shoga stars.watamaliza majina yote ila hawatoitoa simba na yanga juu
 
Back
Top Bottom