Ihefu SC yabadili jina baada ya kubadili makazi, sasa yaitwa Singida Black Stars SC

Ihefu SC yabadili jina baada ya kubadili makazi, sasa yaitwa Singida Black Stars SC

bado singida alizeti. jina zuri pia, walichukue na hilo. wakimaliza hapo waite singida kindai, na singidani stars ya kale kaziwa kao.
 
Kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mama anaupiga, mwingi, kutoka ihefu hadi Singida Black stars, makofi kwake tafadhali
 
Mmekurupuka hata logo haiendani na jina la timu
 
Mwigulu anachekesha sana,anataka kushindana na GSM na Mo,utamaliza majina yote ila hakuna kitu utafanikiwa
Is a biznes game braza. Acha wafanya biashara wafanye biashara , wako busy kutafuta namna wanaweza kutimiza malengo yao japo sis wengine tuta watafsiri tofauti
 
Sema naamini kuna namna mkwanja unafuliwa.
 
Mwigulu anachekesha sana,anataka kushindana na GSM na Mo,utamaliza majina yote ila hakuna kitu utafanikiwa
Bila mkono wa Serikali, ubabaishaji na Ukiritimba, huwezi shindana na Simba na Yanga.

Hawa waunda timu ni wanazitumia kusafisha hela, kusafirisha unga n.k
 
Kwanza napende kumpongeza mama Samia kwa kuruhusu kuiona hii post
 
Ihefu FC wauze hadi na Uwanha wabakie kuuza maji na mashamba ya mpunga tu
 
Back
Top Bottom