fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
ha ha alichora mawe na madaraja nchi nzima hadi malawiMwache rais ajaye aupaishe mkoa wa Singida
Hiyo ni Moja ya kampeni zake badala ya ile ya kuchora mawe kugoma kuleta matokea aliyoyatarajia
Weka video tuoneKwani weee hukufungwa 5 6 na simba ?
Kwa hiyo hamtasajiri wachezaji wa kigeni tena?
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.Tanzania yangu.
Huyu mwigulu aliandika kwenye mawe na madaraja Yote Tanzania
MEIGULU RAIS 2015.
Tuna mawaziri Vichaa kabisaaaaa......
Inayofuatia hapo ni Singida sunflower fcSINGIDA FOUNTAIN GATE
SINGIDA BIG STARS
SINGIDA BLACK STARS
SINGIDA UNITED
Mnatuchanganya sana
Loading, Singida, Connected....
Njoo nikuonyeshe au bado mdogo 2012 ulikuwa hujazaliwa?Weka video tuone
MWiguluIs a biznes game braza. Acha wafanya biashara wafanye biashara , wako busy kutafuta namna wanaweza kutimiza malengo yao japo sis wengine tuta watafsiri tofauti
Mwigulu ana biashara gani yule mbwiga,anachofanya ni money laundering tu,TRA hawamtambui kama taxi payer ila ni bilioneaIs a biznes game braza. Acha wafanya biashara wafanye biashara , wako busy kutafuta namna wanaweza kutimiza malengo yao japo sis wengine tuta watafsiri tofauti