Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
556
Reaction score
736
Habarini.

Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba.

Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na uzoefu wako kisha itakusaidia kutengeza cover letter yenye mvuto kwa mwajiri.

Unaweza ijaribu hapa kabla sijaiweka kwenye official hosting JobAssist - Cover letter generator

NB: Hii project still bado naendelea kuiboresha. Hivyo, ijaribu kisha unipe comment zako

credits to OpenAI ambayo imekuwa msaada mkubwa kwenye project hii.
 
Tunaendelea kupokea maoni ili kuboresha system hii.
 
Kazi nzuri sana. Ushauri wangu kwa maboresho zaidi:
Weka kipengele cha achievement,ambapo kwa mtu mwenye experience pia aandike achievement zake alizozipata katika kazi yake ya sasa na katika kazi zake za nyuma. Hii itasaidia wakati ina generate cover letter iweze kupick hizo specific achievement pia kuliko hii ya sasa hivi ambapo ni kama inajaribu ku guess achievements.
 
Sawa Ahsante kwa feedback, nitafanya hivyo.
 
Karibu sana.
Pia, angalia uwezekano wa option ya mtu kuweza ku upload job description au ku copy-paste job description, iwe kama additional option badala ya option moja tu ya ku paste link ya tangazo la kazi. Unakuta kazi zingine wanakua wanazungusha tu pdf ya job description whatsapp na social media.
 
Sawa, Ahsante kwa ushauri huo
 
Sawa, Ahsante kwa ushauri huo
Kitu kingine, sehemu ya kujaza elimu ni moja tu. Vipi kama mtu ana Bachelor na Masters ambazo zote zinahusiana na kazi anayoomba kwa kiasi kikubwa na kazi anayoomba inataka awe na hizo?
Fikiria pia uwezekano wa kuweka elimu zaidi ya moja herman3
 
Habarini.

Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba.

Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na uzoefu wako kisha itakusaidia kutengeza cover letter yenye mvuto kwa mwajiri.

Unaweza ijaribu hapa kabla sijaiweka kwenye official hosting JobAssist - Cover letter generator

NB: Hii project still bado naendelea kuiboresha. Hivyo, ijaribu kisha unipe comment zako

credits to OpenAI ambayo inasaidia imekuwa msaada mkubwa kwenye project hii.
Nimeijaribu, nimestaajabu matokeo.

Hakika ni kazi nzuri sana. Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom