Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kwa feedback tunatarajia maoni zaidi kutoka kwako pia.Nimeijaribu, nimestaajabu matokeo.
Hakika ni kazi nzuri sana. Mungu awabariki.
Ahsante sana kwa feedback tunatarajia maoni zaidi kutoka kwako pia.Safi sana sana sanaaa... Kazi nzuri mno.. hongereni
AhsanteNice job
Ahsante kwa kuijaribuSystem iko poa sana.
Ahsante natumaini kupokea mrejesho wako baada ya kuijaribu.Hongr mdau sijajaribu ila naona kazi nzuri nitaitumia nikitulia.!
Nimefanya hayo maboresho kwa kuruhusu kuingiza hizo taarifa kwenye working experienceKazi nzuri sana. Ushauri wangu kwa maboresho zaidi:
Weka kipengele cha achievement,ambapo kwa mtu mwenye experience pia aandike achievement zake alizozipata katika kazi yake ya sasa na katika kazi zake za nyuma. Hii itasaidia wakati ina generate cover letter iweze kupick hizo specific achievement pia kuliko hii ya sasa hivi ambapo ni kama inajaribu ku guess achievements.
Hii pia nimefanya marekebisho, sehemu ya education unaweza ingiza qualifications zote za elimu ulizonazoKitu kingine, sehemu ya kujaza elimu ni moja tu. Vipi kama mtu ana Bachelor na Masters ambazo zote zinahusiana na kazi anayoomba kwa kiasi kikubwa na kazi anayoomba inataka awe na hizo?
Fikiria pia uwezekano wa kuweka elimu zaidi ya moja herman3
Ahsante kwa kuijaribu, natarajia kupokea maoni zaidi.Hongera kazi nzuri sana.
Ahsante sana kwa kuijaribu. natarajia kupokea maoni zaidi.Umetisha sana mwamba na hio acknowledgement pale mwisho umetisha pia
Ahsante, nitatumaini kupokea maoni zaidi pia.Kazi nzuri chief, ngoja na mimi nikitulia nianze kuandika cover letter kwa kutumia mfumo huu maana kila mara natuma maombi bila kuchoka.