Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

Next update inakaribia kuwa tayari itajumuisha possible interview questions kwa position ambayo unaomba.

Zingatia: unapotumia system hii jitajidi kuwa brief as much as you can, hiyo itasaidia system kutumia taarifa hizo zote kupata cover letter ambayo ni attractive zaidi kwa mwajiri.

Pia, mnapojaribu naomba sana mnipe feedback ili nijue wapi niboreshe.
 
NB: Hii project still bado naendelea kuiboresha. Hivyo, ijaribu kisha unipe comment zako
Umetisha sana mkuu, nimeangalia hapa barua ilivyotoka, imenyooka balaa. Ahsante sana
 
Tumeongeza uwezo wa kuandikiwa upya barua ikiwa uliyopata mwanzo hujaridhika nayo.
Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza rewrite then itakuletea barua nyingine, na ile ya kwanza itaisave so uta_download ile ambayo utakuwa umeridhika nayo.
Maximum limit ya kuandika upya barua hiyohiyo ni mara 4 tu.
 
Habarini.

Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba.

Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na uzoefu wako kisha itakusaidia kutengeza cover letter yenye mvuto kwa mwajiri.

Unaweza ijaribu hapa kabla sijaiweka kwenye official hosting JobAssist - Cover letter generator

NB: Hii project still bado naendelea kuiboresha. Hivyo, ijaribu kisha unipe comment zako

credits to OpenAI ambayo imekuwa msaada mkubwa kwenye project hii.
Updates ..
System yetu imefikia kwenye hatua nzuri, tunatumaini hadi Ijumaa ya wiki hii (tar 23 December 2022) tutakuwa tumeiweka kwenye premium hosting kwa ajili ya matumizi ya jamii. Hivyo kwa wale wote ambao mlitoa suggestions mnaweza ipitia tena na kuangalia kama kuna kingine chochote ambacho mngependa kiwe included ili tuweze kukifanyia kazi kabla ya Ijumaa hii.

Ahsanteni.
 
Nzuri sana iko poa aisee inaweka maneno konkiii ya kushawishiii kingrezaaa kimenyookaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu vipi ile ya kupaste maneno kwa kazi ambayo imesambaa kwa pdf bila link imeshindikana? Naona kuna kipindi uliweka, ila umeitoa tena.
Naam mkuu, nimeitoa kwasababu iko na weakness kadhaa ambazo bado najitahidi kuangalia nifanye nini ili iweze kutumia pia taarifa za job description kwenye kuandika barua.
 
Iko vizuri na hongera, ila nimejaribu kuwaza hivi;

Vipi kwa kazi ambazo hazijatangazwa! Mfano mtu katoka chuo hana experience na anaomba kazi japo hakuna tangazo la kazi hiyo.
 
Iko vizuri na hongera, ila nimejaribu kuwaza hivi;

Vipi kwa kazi ambazo hazijatangazwa! Mfano mtu katoka chuo hana experience na anaomba kazi japo hakuna tangazo la kazi hiyo.
Ahsante sana, wazo zuri nitafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom