AhsanteUmetisha
Ahsante sana, natumaini kupata maoni zaidimwamba kazi nzuri,tunajivunia kuwa na madeveloper Kama nyie
Ahsante sana.Good job master
Ahsante sana.Pongezi sana kazi nzuri fanyia kazi maoni ya wadau
Umetisha sana mkuu, nimeangalia hapa barua ilivyotoka, imenyooka balaa. Ahsante sanaNB: Hii project still bado naendelea kuiboresha. Hivyo, ijaribu kisha unipe comment zako
Ahsante, natumaini kupokea maoni zaidiUmetisha sana mkuu, nimeangalia hapa barua ilivyotoka, imenyooka balaa. Ahsante sana
Ahsante, naitumia hii kutest demo wakati wa development, ikikamilika nitailipia hosting.Ujapata premium host tu njoo niadd script yako kwa host yangu iwe https://mysite.com/yourscripts japo ni shared host
Updates ..Habarini.
Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba.
Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na uzoefu wako kisha itakusaidia kutengeza cover letter yenye mvuto kwa mwajiri.
Unaweza ijaribu hapa kabla sijaiweka kwenye official hosting JobAssist - Cover letter generator
NB: Hii project still bado naendelea kuiboresha. Hivyo, ijaribu kisha unipe comment zako
credits to OpenAI ambayo imekuwa msaada mkubwa kwenye project hii.
Nzuri sana iko poa aisee inaweka maneno konkiii ya kushawishiii kingrezaaa kimenyookaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Updates ..
System yetu imefikia kwenye hatua nzuri, tunatumaini hadi Ijumaa ya wiki hii (tar 23 December 2022) tutakuwa tumeiweka kwenye premium hosting kwa ajili ya matumizi ya jamii. Hivyo kwa wale wote ambao mlitoa suggestions mnaweza ipitia tena na kuangalia kama kuna kingine chochote ambacho mngependa kiwe included ili tuweze kukifanyia kazi kabla ya Ijumaa hii.
Ahsanteni.
Ahsante kwa kujaribu.Nzuri sana iko poa aisee inaweka maneno konkiii ya kushawishiii kingrezaaa kimenyookaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu vipi ile ya kupaste maneno kwa kazi ambayo imesambaa kwa pdf bila link imeshindikana? Naona kuna kipindi uliweka, ila umeitoa tena.Ahsante kwa kujaribu.
Naam mkuu, nimeitoa kwasababu iko na weakness kadhaa ambazo bado najitahidi kuangalia nifanye nini ili iweze kutumia pia taarifa za job description kwenye kuandika barua.Mkuu vipi ile ya kupaste maneno kwa kazi ambayo imesambaa kwa pdf bila link imeshindikana? Naona kuna kipindi uliweka, ila umeitoa tena.
Ahsante sana, wazo zuri nitafanyia kazi.Iko vizuri na hongera, ila nimejaribu kuwaza hivi;
Vipi kwa kazi ambazo hazijatangazwa! Mfano mtu katoka chuo hana experience na anaomba kazi japo hakuna tangazo la kazi hiyo.