Sijui niseme nn ila kifupiUpdates ..
System yetu imefikia kwenye hatua nzuri, tunatumaini hadi Ijumaa ya wiki hii (tar 23 December 2022) tutakuwa tumeiweka kwenye premium hosting kwa ajili ya matumizi ya jamii. Hivyo kwa wale wote ambao mlitoa suggestions mnaweza ipitia tena na kuangalia kama kuna kingine chochote ambacho mngependa kiwe included ili tuweze kukifanyia kazi kabla ya Ijumaa hii.
Ahsanteni.
Ahsante kwa kuijaribuSijui niseme nn ila kifupi
Umeupiga mwingi sanaa mzee baba
Kitu inatoa mzgo piruuuu
Sasa hivi ni mwendo wa kutuma tu cover letter
AhsanteSafii
UPDATES: nime_solve changamoto ambayo ilijitokeza, sasa unaweza endelea kujaribu na kunipa feedbackNashughulikia changamoto ya kusave details (mmekuwa mkisave data za education, experience, na skills kwenye system lakini zimekuwa hazionekani) so naomba muda kidogo nitawajulisha ikiwa solved.