First eleven ipo kokote kule.Hakuna haja ya sheria
Yeye Mkataba wake ahakikishe kuna kipengele kinasema asipocheza mechi kadhaa kufanyike nini..
Atolewe mkopo kwingine.
Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake.
Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji ndani ya timu ambae hajacheza walau dakika kumi za mechi ya ushindani.
Inaleta maudhi kuona baadhi ya Wachezaji wanaishia kukaa benchi Mechi kumi mfululizo, au hata msimu mzima.
Mchezaji asisajiliwe kusindikiza wengine, kama hana mchango kwenye timu basi auzwe au aachwe akatafute maisha kwingine.
Ndio maana anasema kama ni hivyo kwamba mchezaji hachezi karibu msimu mzima sasa unakuwa naye kwa kazi gani na kazi ya mpira usipocheza mara kwa mara kiwango chako lazima kitashuka.dah jaman hebu tuachen utan.. Mpira kazi kama
kazi ingine.. mtu asajiliwe awe analipwe mshahara asionyeshe kiwango bado team ilazimishwe kumchezesha.. wakipoteza mtawapa point za bure
sijui kwa nn mnafanyaga mpira kama
vile ni mambo ya kijamii au hisani...
ni sawa na ww tukuajiri tukupe
mshahara ila uwe na mahudhurio mabovu kazini na usionyeshe utendaji mzuri ila kampuni ilazimishwe kukupandisha cheo
Mkuu uliwahi cheza hata team za mitaani?Tukikuajiri na tukupe meza na kiti tu kwa miezi sita bila kufanya kazi yoyote, hapo ndio utajua hoja ya mtoa mada.
Kocha wa Simba wa sasa anahusika sana na udhalimu huu tofauti na mtangulizi wake ambaye alikuwa anawapa game time karibia wachezaje wote na matokeo yanapatikana.
Mazoezini huko inakuwaje?......Ndio maana anasema kama ni hivyo kwamba mchezaji hachezi karibu msimu mzima sasa unakuwa naye kwa kazi gani na kazi ya mpira usipocheza mara kwa mara kiwango chaki lazima kitashuka.
If you engage a player and you don't utilise his services then it means he is surplus to your requirements, you're supposed to disengage him.
Ndio maana anasema kama ni hivyo kwamba mchezaji hachezi karibu msimu mzima sasa unakuwa naye kwa kazi gani na kazi ya mpira usipocheza mara kwa mara kiwango chako lazima kitashuka.
If you engage a player and you don't utilise his services then it means he is surplus to your requirements, you're supposed to disengage him.
Huoni kama na timu husika inapaswa kujihukumu kwa kumsajili Mchezaji bila ya kujiridhisha kama atawafaa?.dah jaman hebu tuachen utan.. Mpira kazi kama
kazi ingine.. mtu asajiliwe awe analipwe mshahara asionyeshe kiwango bado team ilazimishwe kumchezesha.. wakipoteza mtawapa point za bure
sijui kwa nn mnafanyaga mpira kama
vile ni mambo ya kijamii au hisani...
ni sawa na ww tukuajiri tukupe
mshahara ila uwe na mahudhurio mabovu kazini na usionyeshe utendaji mzuri ila kampuni ilazimishwe kukupandisha cheo
Tukitumia mfano huo huo wa Gadieli...Ni sawa, na hakuna anayebisha kuwa Tshabalala yuko vizuri kuliko Gadieli.Mkuu uliwahi cheza hata team za mitaani?
( Min-academies?) Atakayeperfom vizuri zoezi ndiye atakayecheza.
Na wachezaji tulikuwa tunaelewa kabisa mimi ni first option au wakuanzia benchi, au ni squad player tu.
Mfano unadhani Gadiel michael haelewi kuwa Zimbwe kamzidi uwezo?
Aliyekwambia team inasajili wachezaji ila wote waje wacheze nani?Huoni kama na timu husika inapaswa kujihukumu kwa kumsajili Mchezaji bila ya kujiridhisha kama atawafaa?.
Na je, ni sahihi kumlipa Mtu asiyetumika?.
Ndio maana nimesema kuwe na walau muda maalumu ambapo timu inatakiwa iwe imshajiridhisha kwamba Mchezaji fulani hawezi kuwa nasi basi wamuachie aondoke badala ya kuendelea kumng'ang'ania msimu mzima bial ya kucheza hata mehi moja.
Unadhani mchezaji kutokea benchi na kwenda kubadili matokeo ni maamuzi yake?Tukitumia mfano huo huo wa Gadieli...Ni sawa, na hakuna anayebisha kuwa Tshabalala yuko vizuri kuliko Gadieli.
Lakini pia lazima tujiulize ni kwa nini wamemsajili Gadieli?.....nadhani jibu litakuwa ni ili awe back up wa Zimbwe...sasa kwa nini Gadieli akae tu benchi akisubiri Zimbwe aumie au apate tatizo?.
Sheria ziwabane Walimu au Timu husika ili Mchezaji kwenye mechi kumi za ushindani basi acheze hata walau dakika kumi tu badala ya kuwa msindikizaji kwa mechi zote hizo...Kocha hawezi kukosa mechi moja au mbili za kumpumzisha Zimbwe dakika za lala salama aingie huyo Gadieli.
Na hii hoja ya kusema Mchezaji anayeonesha uwezo 'mazoezini' ndiye atacheza mimi huwa sijawahi kuielwa hata siku moja....hili ni suala linalotegemea utashi wa Mwalimu kwa asilimia 80 kama sio 90.
Mara ngapi tumeona Mchezaji kutokea benchi akaenda kubadili matokeo?, na kutokea hapo ndio unaona Kocha anaanza kumuanzisha yeye mechi zinazofuata?....sasa hapo hiyo logic ya mazoezini ndio inakuwa imekufa ama?...kwamba huyu wa benchi sasa kaanza kuonesha bidii mazoezini?....huwa kiukweli kwangu haimake sense.
Huoni kama na timu husika inapaswa kujihukumu kwa kumsajili Mchezaji bila ya kujiridhisha kama atawafaa?.
Na je, ni sahihi kumlipa Mtu asiyetumika?.
Ndio maana nimesema kuwe na walau muda maalumu ambapo timu inatakiwa iwe imshajiridhisha kwamba Mchezaji fulani hawezi kuwa nasi basi wamuachie aondoke badala ya kuendelea kumng'ang'ania msimu mzima bial ya kucheza hata mehi moja.
Kuna tatizo gani kama Simba inaongoza kwa goli tatu bila na ni dakika ya 75 ya mchezo kumpumzisha Zimbwe na kumpa game time Gadiel Michael kumalizia dakika 15 za mwisho!!! Au hata 5 tu!!!!Mkuu uliwahi cheza hata team za mitaani?
( Min-academies?) Atakayeperfom vizuri zoezi ndiye atakayecheza.
Na wachezaji tulikuwa tunaelewa kabisa mimi ni first option au wakuanzia benchi, au ni squad player tu.
Mfano unadhani Gadiel michael haelewi kuwa Zimbwe kamzidi uwezo?
Sub ni ngapi kwa mchezo?Kuna tatizo gani kama Simba inaongoza kwa goli tatu bila na ni dakika ya 75 ya mchezo kumpumzisha Zimbwe na kumpa game time Gadiel Michael kumalizia dakika 15 za mwisho!!! Au hata 5 tu!!!!