Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
-
- #41
HakikaKuna mkuu amesema Kwamba Meli ya titanic iligonga jiwe.
Kwa kudhani kuwa imegonga mwamba chini ya maji ..
Haikugonga chini ya Maji bali juu ya maji ndy kulikuwa na mwamba wa barafu.
Kwani hakuna majabali? Nani alisema lazima iwe miti?Kusingekuwa na miti vurugu ya maji ingekuwa kubwa sana
Tunapinganaje kwa hoja wakati wewe mwenyewe ushasema INASADIKIKA?Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari!
Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani!
Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai!
Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi!
Ukibeba ndoo ya maji nusu kichwani utaona vile yanavyocheza (yumba yumba) mithili ya kumwagika!
Lakini ukikata tawi la mti ukalitupa kwenye ndoo ya maji hayo mara moja yanatulia (hayachezi tena).
Hii ni sayansi ndogo sana kuitumia!
Bahari ni maji mengi sana, na kutokana na mzunguko wa dunia, Bila shaka mawimbi ya bahari yangekuwa ni makubwa mno!
Lakini kwa sayansi ileile ya ndoo! Chini ya bahari imo miti mikubwa na misitu mikubwa ambayo inasadikika inasaidia kupunguza kuyumba yumba kwa bahari! La sivyo fujo ya maji ingekuwa kubwa sana!
Naomba ufafanuzi kama hili ni uongo (tupingane kwa hoja)
Pia kwa ukubwa wa bahari Ilivyo Duniani, inauwezo wa kumeza vyote vya nchi kavu! (Yaani ukichukua vyoote magari, majumba, maghorofa, watu, misitu yaani makolokolo yote ya nchi kavu ukiyatosa baharini HAYAJAI!
Haya ni mastori yangu fundi umeme SAMICO, mwenye kazi tuinuane jamani nipigie 0711756341 au huko instagramu nifollow @Samico_Tanzania Sinaga bei kabisa! Natindua hata chumba kiwe kimoja
Mkuu mbona umekazania sana na hiyo stori?Yaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Nakubali baharini kuna miti mikubwa hata ya kufikia kuchanwa mbao, sema tu wazamiaji na Watafiti mbalimbali wao, wanaona miamba na matumbawe, badala miti.Kusingekuwa na miti vurugu ya maji ingekuwa kubwa sana
Mmea nao hula ,sahihi atutonyeHiyo miti inapataje mwanga wa jua? Haina chlorophyll?
Nakubali baharini kuna miti mikubwa hata ya kufikia kuchanwa mbao, sema tu wazamiaji na Watafiti mbalimbali wao, wanaona miamba na matumbawe, badala miti.
Mambo ya ulimwengu usionekana, uliyochini ya ardhi, nadhani ndiyo anaouelezea. Wenye miti baharini majumba ya kifahari na mtandao mzuri wa umeme, usiokatika.
Kwa mujibu wa record iliyopo sehemu yenye kina kirefu zaidi cha baharini ni kwenye Mariana trench ambayo ipo bahari ya Atlantic ambapo ni karibu metres 10942 au kilometer 11 kwenda chinikina kirefu zadi cha bahari duniani ni km/m ngapi?
Sawa kabisa iligonga barafu ila hao wakina jack na rose ni fiction story tu imewekwa kwenye kisa cha titanic ili movie inoge..Kuna mkuu amesema Kwamba Meli ya titanic iligonga jiwe.
Kwa kudhani kuwa imegonga mwamba chini ya maji ..
Haikugonga chini ya Maji bali juu ya maji ndy kulikuwa na mwamba wa barafu.
Ile iligonga mlima wa barafuYaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Titanic iligonga BARAFU ICEBERG sio mwamba wa jiwe kama unavyodhania ww.Yaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Ni kweliKuna mvuvi mmoja wa baharini aliniambia kuhusu uwepo wa miti mikubwa ndani ya bahari , nikaona ananipanga kumbe ni kweli.