Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Yaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti

Unaona kwenye uso wa dunia kulivo na tambarare, milima, mabonde na Angani kuna tambarare, milima, mabonde hata Baharini kuna tambarare, milima na mabonde pia mbona ni sayansi ya kawaida hiyo haujiulizi kama gesi iko baharini inashindikana uoto wa baharini kuwepo?
 
Nilipata zari kuna kampuni nilikuwa nafanya nayo kazi ya ufundi, ilikuwa kampuni ya wajapani, tulikuwa mafundi wa kibongo wawili, kulikuwa na sherehe zao, wakatuchukua kwenye chombo kutuonesha maajabu , kuna vidumbwana kama submarine unazama chini kabisa ya bahari! Ndiko nikajionea maajabu laivuu !
Sikutamani tena kurudia kuzama! Kuna vimbwanga si mchezo! Hadi mkataba ulivyoisha tukarudi bongo sijawahi taman kabisa kujua yaliyomo yanatisha
Dah!..bahari ina mengi ya kushangaza, nasikia ina viumbe hai wengi mno kuliko waliopo huku nchi kavu.

Mshana Jr
 
IMG_1140.jpg
 
Yaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Titanic iligonga mwamba wa barafu na sio mwamba wa mawe kama unayoyajuwa WeWe.

Wakati wa baridi Kali sana sehemu za baridi Kali sana baharini hutokea mawimbi kuganda na kutengeneza mwamba wa barafu.
Ndy iliyogonga titanic..

Kwenye titanic Kuna mabaharia(AB) waliwekwa kuangalia nje kitaalam tunaita ''Look out"
Meli inapotembea (under way) especially usiku ,
lazima kuwe na AB ambao wanaangalia nje pande zote mbili,
Incase kama radar haitaona wao wanatoa taarifa Kwa wahusika pale bridge (chumba Cha kuongozea meli)

Jamaa badala ya kuangalia mbele kama Kuna tatizo wao wakawa wanamuangalia Jacky na rose wakifanya mapenzi,
Wakaja kushituka tayari meli imeshaingia kwenye mwamba wa barafu.
Pia Meli haiendeshwi Kwa kuangalia Kwa macho ya kawaida pekee bali Kuna kitu kinaitwa radar ndy inaangalia chochote kilichopo juu ya maji na kina Cha maji pia,
Kwamba hapa ni maji madogo meli itakwama..au hapa itapita..
Ndy maana meli hutembea ikiwa imezima taa zote za mbele.
Only navigation lights on
 
Meli inapita sehemu ndogo ya juu!
Misitu uko chini kabisa ambako meli na makontena yanayozama hutua huko chini
Kuna kitu wenzetu huko majuu wanaita drain the ocean, kama una Dstv kuna program huwa wanaonyesha kwenye National Geographical Channel. Hii ni tekonolojia ya kisasa kabisa ambapo kwa kutumia computer program wanauwezo sasa hivi kuona kila kitu kilivyo huko chini baharini. Mfano kupitia hiyo program wameweza kujua meli kubwa au nyambizi ambazo zilipotea baharini kwenye vita kuu ya dunia ziko wapi. Sijawahi kuona hiyo miti unayosema ila nimeona makorongo makubwa, matumbawe nk
 
Ndio

Kuna milima na mabonde pia!

Coral reefs zimetengeneza milima ambayo vegetation huota juu yake!

Kama jinsi ilivyo huku Duniani kuwepo KWA milima na mabonde na Baharini vivyo Hivyo!!
 
kina kirefu zadi cha bahari duniani ni km/m ngapi?
Hebu fikiria Kwamba Anchor chain ya 1 shackle ni sawa na 27.5. ni kama urefu wa feet 90..
Namaamisha shackle Moja ni sawa na 27.5 centimeters

Lakini zinazamishwa kwenye maji 10 shackles na Bado Nanga haijafika chini ,,
Nanga bado inaelea,

Unadhani chini Kuna urefu gani?..

Bahari kina kirefu Sana kuliko unavyozania.

Na usidhani Kwamba Meli inapita Kila sehemu baharini .
Meli ina njia zake maalum inapita..
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe unasimulia movie sasa.
Kuna mkuu amesema Kwamba Meli ya titanic iligonga jiwe.

Kwa kudhani kuwa imegonga mwamba chini ya maji ..
Haikugonga chini ya Maji bali juu ya maji ndy kulikuwa na mwamba wa barafu.
 
Back
Top Bottom