Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #21
Kuna maeneo matupu, kuna maeneo yanamajabali, kuna mapango na kuna maeneo yana miti msituYaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maeneo matupu, kuna maeneo yanamajabali, kuna mapango na kuna maeneo yana miti msituYaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Yaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Hata kwenye mto wa Kawaida ndani ya maji kuna specie za mimea no wonder
Dah!..bahari ina mengi ya kushangaza, nasikia ina viumbe hai wengi mno kuliko waliopo huku nchi kavu.Nilipata zari kuna kampuni nilikuwa nafanya nayo kazi ya ufundi, ilikuwa kampuni ya wajapani, tulikuwa mafundi wa kibongo wawili, kulikuwa na sherehe zao, wakatuchukua kwenye chombo kutuonesha maajabu , kuna vidumbwana kama submarine unazama chini kabisa ya bahari! Ndiko nikajionea maajabu laivuu !
Sikutamani tena kurudia kuzama! Kuna vimbwanga si mchezo! Hadi mkataba ulivyoisha tukarudi bongo sijawahi taman kabisa kujua yaliyomo yanatisha
Kumbe ni kazi ya sanaa tena ya kuchonga sio miti halisi
Yes Bro Trust me!Source: Trust me Bro
Bora umesema wewe,maana watu wanakataaIpo ni kweli kabisa ila watu hawataamini hadi washuhudie
Mkuu bahari ina kina kirefu Sana,,kina kirefu zadi cha bahari duniani ni km/m ngapi?
HakikaTukajisomee kelp forests ni nini? Na zinafaida gani? Hiyo misitu huko wakati mwingine husaidia kuwepo hewa ya oxygen kwa ajili ya viumbe waishio kwenye maji
Titanic iligonga mwamba wa barafu na sio mwamba wa mawe kama unayoyajuwa WeWe.Yaan kabla ya miti kuna miamba kwanza? Maana taitanic iligonga mwamba siyo miti
Kuna kitu wenzetu huko majuu wanaita drain the ocean, kama una Dstv kuna program huwa wanaonyesha kwenye National Geographical Channel. Hii ni tekonolojia ya kisasa kabisa ambapo kwa kutumia computer program wanauwezo sasa hivi kuona kila kitu kilivyo huko chini baharini. Mfano kupitia hiyo program wameweza kujua meli kubwa au nyambizi ambazo zilipotea baharini kwenye vita kuu ya dunia ziko wapi. Sijawahi kuona hiyo miti unayosema ila nimeona makorongo makubwa, matumbawe nkMeli inapita sehemu ndogo ya juu!
Misitu uko chini kabisa ambako meli na makontena yanayozama hutua huko chini
😆😆😆😆wewe unasimulia movie sasa.Jamaa badala ya kuangalia mbele kama Kuna tatizo wao wakawa wanamuangalia Jacky na rose wakifanya mapenzi,
Hebu fikiria Kwamba Anchor chain ya 1 shackle ni sawa na 27.5. ni kama urefu wa feet 90..kina kirefu zadi cha bahari duniani ni km/m ngapi?
Kuna mkuu amesema Kwamba Meli ya titanic iligonga jiwe.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe unasimulia movie sasa.