BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
Habari zenu wananzengo. Mi sio mwandishi mzuri naomba tu mnivumilie ningependa kujua kama kuna mtu anafaham juu ya biashara ya kunenepesha ng'ombe na kuwauza.
Naomba tushee utaalam ili nijue faida ya biashara hiyona hasara ya na vitu vinavyotakiwa kuanzia wanapopatikana hao ng'ombe na bei wanazouzia,soko lake na tahadhari zake naomba msaada wenu tafadhari wananzengo .
Hui mradi huwa naupenda sana ila ndo cjui namna ya kufanya mradi huo nisaidie wataalamu.
Pia kama kuna mtu anavutiwa na mradi huu na angependa tushirikiane na mkaribisha sana.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wananzengo najua mtanisaidia japo mawazo ili nifikie malengo niliyokusudia.