True Lover
Member
- Aug 8, 2016
- 32
- 47
......ila ndo cjui namna ya kufanya mradi....... Halafu unasema unafaida fanya utafiti wa kutosha kwanza ndio upate uhakika wa mradi kuwa na faida.
......ila ndo cjui namna ya kufanya mradi....... Halafu unasema unafaida fanya utafiti wa kutosha kwanza ndio upate uhakika wa mradi kuwa na faida.
haina maana kukatisha watu tamaa,wewe una biashara unayoifanya ,mwenzio hawezi fanya biashara hiyohiyo watanzania wote tukafanya the same b'ness. kwa watu waliosoma b'ness analysis they understand what i mean. biashara hii ina faida maana unaweza ifanya bila uwepo wako,haikuhitaji follow up ya kila wakati ,wewe kazi yako nunua ng'ombe, weka mzigo wa chakula, kuwe na sehemu ya malisho na umpati atakayewalisha bas. ukiwasikiliza wavivu hutaenda mahali. na ukiwa na mtaji mdogo hbuwezi kupata a net profit ambayo ni mkubwa , kwa watumishi ambao wamekubali kuwa waajiriwa kwa maisha yote irecommend this as a good b'ness.