Ijue Biashara ya kunenepesha Ng'ombe yenye faida kubwa

Kuna watu walikuwa wanawalisha majani wakichanganya na mbolea ili wanenepe can you believe that?
Ilivuma sana na watu walikamatwa
Unashangaa nini? Unajua manufaa ya UREA kwenye mfumo wa tumbo la ng'ombe wewe? Waliwakamata kwa vile walikuwa hawajui lakini huko mahakamani lazima waliwagaragaza hao washitaki wao!
 
Hiyo mbolea ya tumbaku inahusiana niini na utumbo naomba kujua
Wala usiwe na jazba nieleweshe tu
Naweza na mimi in future nikachanganya na mawese lakini kama wataanza kuandika suitable for human consumption
 
584272c199331d9f4d9a6201cb6fe5d8.jpg

Habari zenu wananzengo. Mi sio mwandishi mzuri naomba tu mnivumilie ningependa kujua kama kuna mtu anafaham juu ya biashara ya kunenepesha ng'ombe na kuwauza.

0f5123e5ee71f56361dfe8b33fef6fc9.jpg

Naomba tushee utaalam ili nijue faida ya biashara hiyona hasara ya na vitu vinavyotakiwa kuanzia wanapopatikana hao ng'ombe na bei wanazouzia,soko lake na tahadhari zake naomba msaada wenu tafadhari wananzengo .

468176bd35f241bd8326bd1c2f856356.jpg

Hui mradi huwa naupenda sana ila ndo cjui namna ya kufanya mradi huo nisaidie wataalamu.

Pia kama kuna mtu anavutiwa na mradi huu na angependa tushirikiane na mkaribisha sana.

Natanguliza shukrani zangu kwenu wananzengo najua mtanisaidia japo mawazo ili nifikie malengo niliyokusudia.

mkuu unataka kufuga au kunenepesha??

maana kuna wapo wa aina mbili:
1.unaweza kununua ngombe wa kawaida hasa wakati wa kiangazi ambao wanauzwa kwa 150,000 -30,0000 inategememea na uwezo wako kushawishi pamoja na sehemu.
hawa ngombe unaweza kuwalisha majani ya kawaida ambao baada ya msimu wa mvua wakinenepa unaweza kuuza kwa 450000 -600000 au mpka 700000 hii inategemea na ukubwa wake pamoja na mnada.,,vile vile unaweza kuwanunua hawa wakawaida ukawalisha pumba(mashudu) haya ni machicha ya pamba, yanapatikana kwenye viwanda vya pamba vinavyochakata mafuta, uzuri wake ngombe wananenepa sana japo ni gharama sana ukilinganisha na wale wa majani ya kawaida. hawa sokoni wanasiamia 500000 -750000 hapa kinachoongeza bei ni umbo, jitahidi uchague wale wenye maumbo makubwa ilikusudi akinenepa awe na kilo nyingi.
2. kuna wale wa kuchukua ngombe wa kawaida lakini unapandikiza na yale madume yenye umbo kubwa ambayo mengi ni hybrid haya yanapatikana maeneo ya rukwa kwenye lunch za serikali na binafisi. ndama dume anauzwa kuanzia 500000-700000 lakini baada ya kupandikiza wanazaliwa ndama ambao ni chotala wanaweza kuishi kwa mazingira yyte ambao madume yakizaliwa unaweza kuuza mbaka 1.5m yakiwa makubwa ubaya wa hii biashara inahitaji mtaji mkubwa na inachukua mda mwingi siyo kama ile ya 1.

asante
 
Mkuu hii ni biashara nzuri sana, ila uwe na ka mtaji ka kueleweka. mie naifanya mwaka wa pili sasa,nina maintain dume 20 kila mda, ina maana kila baada ya miezi 3 nauza dume 5 wakubwa then nanunua wadogo. HUWA NANUNUA KWA LAKI 3 HADI 4, THEN NAFUGA KWA MWAKA NA HUWA NAUZA LAKI 5 HADI 8 KWA KILA DUME. KILA MIEZI 3 NAPOKEAGA AT MINIMUM 1M KAMA FAIDA BAADA YA KUTOA GHARAMA ZOTE.
 
Shukran sana mkuu kwa mawazo yako mazuri umenipa mwanga wakutosha tu mi nataka kudeal na hao wakawaida tu nawachukua nawalisha vzr na wengine wakiwa wadogo nawakuza

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii ni biashara nzuri sana, ila uwe na ka mtaji ka kueleweka. mie naifanya mwaka wa pili sasa,nina maintain dume 20 kila mda, ina maana kila baada ya miezi 3 nauza dume 5 wakubwa then nanunua wadogo. HUWA NANUNUA KWA LAKI 3 HADI 4, THEN NAFUGA KWA MWAKA NA HUWA NAUZA LAKI 5 HADI 8 KWA KILA DUME. KILA MIEZI 3 NAPOKEAGA AT MINIMUM 1M KAMA FAIDA BAADA YA KUTOA GHARAMA ZOTE.
Nipe budget mkuu kwa kuanzia niwe na mtaji wa shilingi ngapi mana eneo ninalo tiyari
 
Mkuu unafanyia mkoa gani? Najua mahali unapofanyia ina athiri gharama za uendeshaji mradi na usafirishaji wa mali ghafi pia. Unawalisha chakula gani, mashudu, pumba, nyasi au unawanunulia chakula maalum? Shukrani
 
[emoji106]
 
OK. IKO HIVII, MIMI NI MTUMISHI WA SERIKALI NIPO TOWN, NILICHUKUA SALARI LOAN NIKANUNUA DUME 4 WA LAKI 4 KILA 1, NA DUME 4 WA LAKI 3 KILA MOJA, NA DUME 4 WA LAKI 2 KILA MOJA. JUMLA WAKAWA DUME 12 NA GHARAMA YA MANUNUZI IKIWA 3.6M NINAWAFUGIA KIJIJINI KWETU BABATI VIJIJINI, WOTE NILIWAPA DAWA YA MINYOO BAADA TU YA KUWANUNUA, IKAWA WANALISHWA TU MAJANI KWA MIEZI 4,THEN NIKAJA NUNUA MASHUDU GUNIA 10 WAKATI YAKIWA BEI RAHISI SEHEMU PANAITWA HYDOM, MANUNUZI NA USAFIRI MPAKA KWETU IKAWA KAMA 170,000. IKAWA WALE 4 WAKUBWA WANALISHWA PUMBA NA MAJANI,THEN AFTER ANOTHER 4 MONTHS NIKAWAUZA JUMLA YA 2.7M,WAKABAKI ZILE BATCH 2 AMBAO NI DUME 8., ILE 2.7M NIKAONGEZEA LAKI 4 NIKANUNUA TENA DUME 12 WA SIZE TOFAUTI,JUMLA WAKAWA 20. NIKAWA SASA KILA BAADA YA MIEZI 3 NAUZA BATCH YA DUME 4 , MALISHO NI MAJANI,ILA ILE BATCH INAYOKARIBIA KUUZWA KWA MIEZI 3 NAWACHANGANYIA NA PUMBA, KWENYE MAJI NAWEKA CHUMVI KIDOGO, NA NAWAPA DAWA MINYOO SEASONALY,KILA MWEZI KUNA KIJANA WA KUCHUNGA NAMLIPA ELFU 40. NIKIPIGA MAHESABU YANGU VIZURI HUWA KILA MIEZI 3 SIKOSE 1M KAMA NET PROFIT WAKATI NIKIWA MJINI BILA HATA KWENDA KUWAANGALIA. KUHUSU SOKO SIKU HIZI LIPO NJE NJE MIE NIKITAKA KUUZA KUNA WATU NAWAPAGA TU TAARIFA WANAWAFUATA NYUMBANI
 
Asante mkuu
 
584272c199331d9f4d9a6201cb6fe5d8.jpg

Habari zenu wananzengo. Mi sio mwandishi mzuri naomba tu mnivumilie ningependa kujua kama kuna mtu anafaham juu ya biashara ya kunenepesha ng'ombe na kuwauza.

0f5123e5ee71f56361dfe8b33fef6fc9.jpg

Naomba tushee utaalam ili nijue faida ya biashara hiyona hasara ya na vitu vinavyotakiwa kuanzia wanapopatikana hao ng'ombe na bei wanazouzia,soko lake na tahadhari zake naomba msaada wenu tafadhari wananzengo .

468176bd35f241bd8326bd1c2f856356.jpg

Hui mradi huwa naupenda sana ila ndo cjui namna ya kufanya mradi huo nisaidie wataalamu.

Pia kama kuna mtu anavutiwa na mradi huu na angependa tushirikiane na mkaribisha sana.

Natanguliza shukrani zangu kwenu wananzengo najua mtanisaidia japo mawazo ili nifikie malengo niliyokusudia.

......ila ndo cjui namna ya kufanya mradi....... Halafu unasema unafaida fanya utafiti wa kutosha kwanza ndio upate uhakika wa mradi kuwa na faida.
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom