Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

Andiko zuri saanaa.
asante
Kwakweli nimepata funzo zuri saanaa
asante
Thanks Kaka mkubwa
thanks too

Hii ya kuniita mzee wa totoz haijakaa vizuri, watu humu watanidhania mimi bado ni miongoni mwa wale wazee wanao hangaishana na vitoto vidogo vidogo vya mitaani, vi spring chickens,kumbe ilikuwa enzi zilee, siku hizi mimi ni mzee wa kanisa, na nikistaafu tuu, naanzisha kanisa langu。
Zile enzi zangu zile za kupiga misosi heavyweight zimepita
P
 
Thanks Kaka, Kama umestaafu.

Wewe ni hazina kubwa. Nimetumia hizi nondo zako kutoa darasa hapa wananiona Mimi kichwa balaaa.
 
Nchi hii ni ya hovyo sana! Anateuliwa mtu kuwa balozi wakati Hana Hata Cheti cha kusomea kozi ya Diplomasia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…