Hahaha...Jamani hiki ni kioja!
Tuvumiliane tu ndugu, kuna "comments" nyingine mmmh!!!🤐🤐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...Jamani hiki ni kioja!
Wakati unajaribu kutuelimisha kuhusu haya kumbuka tuna precedent ya Ndugu Alphayo Kidata.Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi.
Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za kufutiwa hadhi ya Ubalozi ni kwasababu ya ukosoaji wake wa mkataba wa DPW na Bandari zetu.
Kwanza naomba ifahamike wazi, hakuna kosa lolote kwa mtu yoyote, mwenye hadhi yoyote, kufanya ukosoaji wowote, wa jambo lolote, as long as ukosoaji huo haukiuki sheria yoyote.
Hivyo Dr. Wilbroad Slaa ana haki ya kukosoa jambo lolote kama ilivyotolewa na ibara ya 18 ya Katiba yetu kwenye freedom of speech and expression.
Ubalozi ni hadhi ya kimataifa inayoendana na rights na privileges fulani fulani zikiandamana na immunities, hivyo ubalozi una masharti ya kufuatwa mtu unapokuwa Balozi na kuna vitu hutakiwi kuvifanya.
Hili ni bandiko elimishi kuhusu
Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr.Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?
Miongoni mwa privileges na immunities za diplomatic status ni pamoja na kinga ya kibalozi, ya kutokushitakiwa popote kwa kosa la jinai.
Mtu yoyote mwenye hadhi ya Ubalozi akitenda jinai yoyote, kabla hajapandishwa mahakamani kushitakiwa, hatua ya kwanza ni kuvuliwa kwanza hadhi ya Ubalozi, ndipo aweze kushitakika kwasababu hadhi ya Ubalozi ina kinga ya kibalozi kutokushitakiwa.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, ukiona zinduna, ujue ambari iko nyuma!, au dalili ya mvua ni mawingu na panapo fuka moshi chini kuna moto!.
Kuvuliwa huku Ubalozi kwa Dr. Slaa ni Zinduna, ni mawingu, ni kufuka tuu kwa moshi, ajiandae kuipokea Ambari, kujikinga na mvua na kuuzima moto unaokuja.
Hii sio mara ya kwanza kwa mtu mwenye hadhi ya Ubalozi kuvuliwa hadhi hiyo, wa kwanza ni balozi wetu wa kwanza jijini London nchini Uingereza Balozi Christopher Kasanga Tumbo, alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwa jinai enzi za Nyerere. Mwingine ni Balozi Antony Pastor Ngaiza alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwenye ile kesi ya uhaini ya mwaka 1982. Pia Balozi Prof. Costa Rick Mahalu akivuliwa hadhi ya Ubalozi na kushitakiwa kwa uhujumu ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania jijini Rome nchini Italy, alliposhinda kesi na kukutwa hana hatia, alirejeshewa Ubalozi wake.
.
Hivyo hata kwa Dr. Slaa, tusubirie yatokanayo na kufutiwa hadhi hii ya Ubalozi, yakishindwa kuthibitishwa, anarejeshewa Ubalozi wake.
Kwa vile hili ni bandiko elimishi, nitakuelimisha kidongo na kwa kifupi
Kufuatia hii topic ni topic ndefu hivyo nakwenda nayo mdogo mdogo, saa hizi nawahi misa ya kwanza, baada ya misa nitaikamilisha
- Hadhi ya Ubalozi ni nini?
- Sifa za mtu kuwa na hadhi ya Ubalozi ni zipi?
- Kuna cheo cha Ubalozi (career diplomats) na Ubalozi wa kuteuliwa.
- Privileges za diplomatic status ni zipi?.
- Ijue diplomatic immunity
- Je kila Balozi lazima awakilishe nchi ubalozini?
- Jee maofisa wote ubalozini ni mabalozi au wana hadhi za Ubalozi?
- Wajue Local Staff ubalozini wasio na hadhi za Ubalozi
- Ukifanya makosa gani unapoteza hadhi ya Ubalozi?
- Jee kila diplomat anayefanya jinai ni lazima avuliwe Ubalozi?.
- Ijue diplomatic Bag?
- Jee mwenye diplomatic status ni Balozi?.
- Jee kila mwenye diplomatic passport ni diplomats?
- Maisha baada ya kuvuliwa Ubalozi, psychological depression etc.
- Wajue Wafanya Biashara Matajiri wenye diplomatic status na sio mabalozi!
Itaendelea...
Paskali
Mwandishi ni mwana habari aliyefanya kazi ubalozi fulani kwa miaka 4, ila kufutia fani yake ya uandishi wa habari, ametembelea Balozi za Tanzania katika nchi nyingi za Africa, Ulaya. Asia na America.
Alafu niliwahi kusikia pia kuwa hadhi/status ya ubalozi kiuhalisia huwa haivuliwi kama ilivyo jeshini....manake once a soldier always a soldier maishayako yoteWakati unajaribu kutuelimisha kuhusu haya kumbuka tuna precedent ya Ndugu Alphayo Kidata.
Rais Magufuli alimtengua kuwa Balozi wa Canada na akamvua hadhi ya ubalozi kabisa.
Katika kumbukumbu zangu Ndugu Kidata hakuwahi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote ile wala hajawahi kurudishiwa hadhi ya Ubalozi.
Je una uhakika gani kama ni lazima Dr. Slaa atafikishwa mahakamani na atarudishiwa hadhi hiyo hata kama itatokea ameshinda??
Tuna precedent ya Balozi Mahalu licha ya kushinda kesi yake mwaka 2012 hakurudishiwa hadhi ya Ubalozi na Mh. Kikwete badala yake alirudishiwa hadhi hiyo mwaka 2018 na Hayati Magufuli. Bila shaka Magufuli alimrudishia hadhi kwa mamlaka yake na utashi wake binafsi tu.
Tujadili Pascal Mayalla
Hadi tuone hayo mashtaka yenu ya kubumba, la sivyo unachoeleza ni assumptionWanabodi

Kwa hiyo atashtakiwa kwa uchochezi au uhaini ?...Hivyo hata kwa Dr. Slaa, tusubirie yatokanayo na kufutiwa hadhi hii ya Ubalozi, yakishindwa kuthibitishwa, anarejeshewa Ubalozi wake.
Serikali ilifanya makosa kumkamata kwanza Dr Slaa akiwa na Hadhi ya kibalozi. Hii yamaanisha kuwa kama Dr Slaa angekuwa upande mmoja na wanomtuhumu pengine angepewa nafasi ya Ubalozi katika nchi ingine au angeendelea kufaidi Hadhi hiyo ya kibalozi.Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi.
Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za kufutiwa hadhi ya Ubalozi ni kwasababu ya ukosoaji wake wa mkataba wa DPW na Bandari zetu.
Kwanza naomba ifahamike wazi, hakuna kosa lolote kwa mtu yoyote, mwenye hadhi yoyote, kufanya ukosoaji wowote, wa jambo lolote, as long as ukosoaji huo haukiuki sheria yoyote.
Hivyo Dr. Wilbroad Slaa ana haki ya kukosoa jambo lolote kama ilivyotolewa na ibara ya 18 ya Katiba yetu kwenye freedom of speech and expression.
Ubalozi ni hadhi ya kimataifa inayoendana na rights na privileges fulani fulani zikiandamana na immunities, hivyo ubalozi una masharti ya kufuatwa mtu unapokuwa Balozi na kuna vitu hutakiwi kuvifanya.
Hili ni bandiko elimishi kuhusu
Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr.Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?
Miongoni mwa privileges na immunities za diplomatic status ni pamoja na kinga ya kibalozi, ya kutokushitakiwa popote kwa kosa la jinai.
Mtu yoyote mwenye hadhi ya Ubalozi akitenda jinai yoyote, kabla hajapandishwa mahakamani kushitakiwa, hatua ya kwanza ni kuvuliwa kwanza hadhi ya Ubalozi, ndipo aweze kushitakika kwasababu hadhi ya Ubalozi ina kinga ya kibalozi kutokushitakiwa.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, ukiona zinduna, ujue ambari iko nyuma!, au dalili ya mvua ni mawingu na panapo fuka moshi chini kuna moto!.
Kuvuliwa huku Ubalozi kwa Dr. Slaa ni Zinduna, ni mawingu, ni kufuka tuu kwa moshi, ajiandae kuipokea Ambari, kujikinga na mvua na kuuzima moto unaokuja.
Hii sio mara ya kwanza kwa mtu mwenye hadhi ya Ubalozi kuvuliwa hadhi hiyo, wa kwanza ni balozi wetu wa kwanza jijini London nchini Uingereza Balozi Christopher Kasanga Tumbo, alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwa jinai enzi za Nyerere. Mwingine ni Balozi Antony Pastor Ngaiza alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwenye ile kesi ya uhaini ya mwaka 1982. Pia Balozi Prof. Costa Rick Mahalu akivuliwa hadhi ya Ubalozi na kushitakiwa kwa uhujumu ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania jijini Rome nchini Italy, alliposhinda kesi na kukutwa hana hatia, alirejeshewa Ubalozi wake.
.
Hivyo hata kwa Dr. Slaa, tusubirie yatokanayo na kufutiwa hadhi hii ya Ubalozi, yakishindwa kuthibitishwa, anarejeshewa Ubalozi wake.
Kwa vile hili ni bandiko elimishi, nitakuelimisha kidongo na kwa kifupi
Kufuatia hii topic ni topic ndefu hivyo nakwenda nayo mdogo mdogo, saa hizi nawahi misa ya kwanza, baada ya misa nitaikamilisha
- Hadhi ya Ubalozi ni nini?
- Sifa za mtu kuwa na hadhi ya Ubalozi ni zipi?
- Kuna cheo cha Ubalozi (career diplomats) na Ubalozi wa kuteuliwa.
- Privileges za diplomatic status ni zipi?.
- Ijue diplomatic immunity
- Je kila Balozi lazima awakilishe nchi ubalozini?
- Jee maofisa wote ubalozini ni mabalozi au wana hadhi za Ubalozi?
- Wajue Local Staff ubalozini wasio na hadhi za Ubalozi
- Ukifanya makosa gani unapoteza hadhi ya Ubalozi?
- Jee kila diplomat anayefanya jinai ni lazima avuliwe Ubalozi?.
- Ijue diplomatic Bag?
- Jee mwenye diplomatic status ni Balozi?.
- Jee kila mwenye diplomatic passport ni diplomats?
- Maisha baada ya kuvuliwa Ubalozi, psychological depression etc.
- Wajue Wafanya Biashara Matajiri wenye diplomatic status na sio mabalozi!
Itaendelea...
Paskali
Mwandishi ni mwana habari aliyefanya kazi ubalozi fulani kwa miaka 4, ila kufutia fani yake ya uandishi wa habari, ametembelea Balozi za Tanzania katika nchi nyingi za Africa, Ulaya. Asia na America.
Kumbukizi Chokozi:Wanabodi

Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. ...
Jambo linakuwa likishafanyika sheria ndo inafuata kama fulivyoona dpw.Tanzania sheria zinatekelezwa kutokana na utashi wa kiongozi aliye madarakani na genge lake. Hata uorodheshe vipi matakwa ya kisheria ya ubalozi, bado utekelezaji utafuata mtazamo wa kiongozi na genge lake. Hivyo utakacholeta ni story za furahisha genge.
Una hoja mkuu, huenda Kidata alivuliwa huo ubalozi kama adhabu tu, hata Slaa ikawa hivyo piaWakati unajaribu kutuelimisha kuhusu haya kumbuka tuna precedent ya Ndugu Alphayo Kidata.
Rais Magufuli alimtengua kuwa Balozi wa Canada na akamvua hadhi ya ubalozi kabisa.
Katika kumbukumbu zangu Ndugu Kidata hakuwahi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote ile wala hajawahi kurudishiwa hadhi ya Ubalozi.
Je una uhakika gani kama ni lazima Dr. Slaa atafikishwa mahakamani na atarudishiwa hadhi hiyo hata kama itatokea ameshinda??
Tuna precedent ya Balozi Mahalu licha ya kushinda kesi yake mwaka 2012 hakurudishiwa hadhi ya Ubalozi na Mh. Kikwete badala yake alirudishiwa hadhi hiyo mwaka 2018 na Hayati Magufuli. Bila shaka Magufuli alimrudishia hadhi kwa mamlaka yake na utashi wake binafsi tu.
Tujadili Pascal Mayalla
umeeleza vizuri sana tena short and claer.Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi.
Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za kufutiwa hadhi ya Ubalozi ni kwasababu ya ukosoaji wake wa mkataba wa DPW na Bandari zetu.
Kwanza naomba ifahamike wazi, hakuna kosa lolote kwa mtu yoyote, mwenye hadhi yoyote, kufanya ukosoaji wowote, wa jambo lolote, as long as ukosoaji huo haukiuki sheria yoyote.
Hivyo Dr. Wilbroad Slaa ana haki ya kukosoa jambo lolote kama ilivyotolewa na ibara ya 18 ya Katiba yetu kwenye freedom of speech and expression.
Ubalozi ni hadhi ya kimataifa inayoendana na rights na privileges fulani fulani zikiandamana na immunities, hivyo ubalozi una masharti ya kufuatwa mtu unapokuwa Balozi na kuna vitu hutakiwi kuvifanya.
Hili ni bandiko elimishi kuhusu
Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr.Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?
Miongoni mwa privileges na immunities za diplomatic status ni pamoja na kinga ya kibalozi, ya kutokushitakiwa popote kwa kosa la jinai.
Mtu yoyote mwenye hadhi ya Ubalozi akitenda jinai yoyote, kabla hajapandishwa mahakamani kushitakiwa, hatua ya kwanza ni kuvuliwa kwanza hadhi ya Ubalozi, ndipo aweze kushitakika kwasababu hadhi ya Ubalozi ina kinga ya kibalozi kutokushitakiwa.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, ukiona zinduna, ujue ambari iko nyuma!, au dalili ya mvua ni mawingu na panapo fuka moshi chini kuna moto!.
Kuvuliwa huku Ubalozi kwa Dr. Slaa ni Zinduna, ni mawingu, ni kufuka tuu kwa moshi, ajiandae kuipokea Ambari, kujikinga na mvua na kuuzima moto unaokuja.
Hii sio mara ya kwanza kwa mtu mwenye hadhi ya Ubalozi kuvuliwa hadhi hiyo, wa kwanza ni balozi wetu wa kwanza jijini London nchini Uingereza Balozi Christopher Kasanga Tumbo, alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwa jinai enzi za Nyerere. Mwingine ni Balozi Antony Pastor Ngaiza alivuliwa Ubalozi na kushitakiwa kwenye ile kesi ya uhaini ya mwaka 1982. Pia Balozi Prof. Costa Rick Mahalu akivuliwa hadhi ya Ubalozi na kushitakiwa kwa uhujumu ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania jijini Rome nchini Italy, alliposhinda kesi na kukutwa hana hatia, alirejeshewa Ubalozi wake.
.
Hivyo hata kwa Dr. Slaa, tusubirie yatokanayo na kufutiwa hadhi hii ya Ubalozi, yakishindwa kuthibitishwa, anarejeshewa Ubalozi wake.
Kwa vile hili ni bandiko elimishi, nitakuelimisha kidongo na kwa kifupi
Kufuatia hii topic ni topic ndefu hivyo nakwenda nayo mdogo mdogo, saa hizi nawahi misa ya kwanza, baada ya misa nitaikamilisha
- Hadhi ya Ubalozi ni nini?
- Sifa za mtu kuwa na hadhi ya Ubalozi ni zipi?
- Kuna cheo cha Ubalozi (career diplomats) na Ubalozi wa kuteuliwa.
- Privileges za diplomatic status ni zipi?.
- Ijue diplomatic immunity
- Je kila Balozi lazima awakilishe nchi ubalozini?
- Jee maofisa wote ubalozini ni mabalozi au wana hadhi za Ubalozi?
- Wajue Local Staff ubalozini wasio na hadhi za Ubalozi
- Ukifanya makosa gani unapoteza hadhi ya Ubalozi?
- Jee kila diplomat anayefanya jinai ni lazima avuliwe Ubalozi?.
- Ijue diplomatic Bag?
- Jee mwenye diplomatic status ni Balozi?.
- Jee kila mwenye diplomatic passport ni diplomats?
- Maisha baada ya kuvuliwa Ubalozi, psychological depression etc.
- Wajue Wafanya Biashara Matajiri wenye diplomatic status na sio mabalozi!
Itaendelea...
Paskali
Mwandishi ni mwana habari aliyefanya kazi ubalozi fulani kwa miaka 4, ila kufutia fani yake ya uandishi wa habari, ametembelea Balozi za Tanzania katika nchi nyingi za Africa, Ulaya. Asia na America.
Asante mkuu.Hivi sisi hatuna mwanasheria mkuu? Hatuna inside political analysts and advisers? Au washauri wetu wako nje ya mfumo? Mbona vitu vinafanyika halafu vinakuja kuonekana sheria zimekiukwa then unasikia mabadiliko.
Chukua mfano wa suala la ukodishwaji wa bandari. Tunapeleka timu ya wabunge dubai kujifunza na kuona uendeshaji wa DPW, tunarudi bungeni kuja kuridhia mkataba ambao ulishasainiwa tangu mwaka jana! Mfano Bunge lingesema (unless ilishapangwa) tubadilishe baadhi ya vipengele, ingekuwaje?
Suala hili hili tena, mkataba umeshasainiwa lakini tukajikuta kumbe kuna sheria ya ulinzi wa rasilimali inakinzana na baadhi ya vipengele vya mkataba.
Turudi kwenye mada, Dr Slaa amekamatwa na kushitakiwa kwa uhaini, tunakuja kugundua baadae kumbe alikuwa na hadhi ya ubalozi na alitakiwa avuliwe kwanza! Hatukuwa na watu wa kuyaona haya? Wewe umesoma sheria, au inatumika reversal kwa mtu kujipinga mwenyewe baada ya kutoa maamuzi ya awali?
Umetumia maneno mawili “very important”, kwamba Dr Slaa ni mkaidi na asie na shukrani.umeeleza vizuri sana tena short and claer.
Haja ya serikali ni kutaka kumkabili na kumdhibiti kisheria mkaidi huyu asie na shukrani bila kuathiri sheria za kimataifa zianazomlinda mtu mwenye hadhi ya balozi.
Pamoja na mambo mengine dr.slaa atapokwa pia diplomatic pasport alokuanayo atapewa ya kiraia, atakaguliwa na kupekuliwa kama raia wa kawaida, mathalani nyumbani kwake au anaposafiri ng"ambo, atakosa fursa za kuongoza mahirika ya kimataifa kwa kukosa endosement ya serikali yake na endapo atapata fursa hiyo kwa kupuuzwa endososment ya nchi yake, basi apewe uongozi for their own risks n.k