mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Acha dharau soma uelewe viroba ndio nini utabaki hivyo na umamuma wakoWakuu kwan viroba vimerudi mtaani??[emoji102]
Sana walahi!Kweli kabisa naona secret star amekaa kimya sana
Hawaelewi achana nao!Acha dharau soma uelewe viroba ndio nini utabaki hivyo na umamuma wako
Yaani hawa raia ni shida itachukua muda sana kumuelimisha mjingaHawaelewi achana nao!
Kwa kweliYaani hawa raia ni shida itachukua muda sana kumuelimisha mjinga
Mimi nime subscribe Nikita kuingia ni simple tuHuu uzi niliutafuta sana
True indeedView attachment 533854 Remain blessed