Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Mi sitangazi injili hapa wala dini ndo maana nakuwepo humu nikipenda sio uwanja wa kazi huu mzee.. Mi sio hao manabii wenu wanaotafuta helafanya biashara ingine hii huiwezi
Kuna mtu anadai hii pic inahusiana na mambo ya kiiluminati ni kweli?!View attachment 533854 Remain blessed
Hivi vyote ni siri za mababu zetu wa kale! Wazungu wakavichukua na kuvifanyia kazi!Kuna mtu anadai hii pic inahusiana na mambo ya kiiluminati ni kweli?!
I love your avatar!Kuna mtu anadai hii pic inahusiana na mambo ya kiiluminati ni kweli?!
Isis najaribu kuku PM nashindwa samahani naomba chukua namba yangu ya whatsapp naomba unitext 0621134653Hivi vyote ni siri za mababu zetu wa kale! Wazungu wakavichukua na kuvifanyia kazi!
Chunguza wewe mwenyewe kadiri ya intuition inavyo kutuma! Google!
Unajua maana ya neno Pharao boss?Nielewavyo mimi kwenye Qur'anTakatifu Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa hajatajwa kwa jina ....
Sasa kama waliojitahidi kujua alikuwa ni Pharaoh yupi wakafikiri ni Ramsy sijui mashiko yao lakini kama wewe unaona sio Ramsy hakuna ubaya wowote.
Jina lake lingekuwa ni la muhimu kujua huyo pharaoh wa Kipindi cha Musa angetajwa jina kwenye Qur'an
Pharao ni kama cheo tu mfano mfalme fulani,ndiyo maana walikuwa na mapharao kadhaa..Unajua maana ya neno Pharao boss?
SM-G955F Samsung S8+
kuna mafarao zaidi ya 600 mzee kila pharao aljtawala katika kipindi chake! So hivi vitabu vya leo huwa vinataja jina la cheo cha huyo mtu na sio jina lake!Pharao ni kama cheo tu mfano mfalme fulani,ndiyo maana walikuwa na mapharao kadhaa..
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya neno Pharao boss?
SM-G955F Samsung S8+
Mkuu mbona unajichanganya ulichoandika ndo tunachokijua sasa mbona uliniuliza kama najua maana ya Pharaohkuna mafarao zaidi ya 600 mzee kila pharao aljtawala katika kipindi chake! So hivi vitabu vya leo huwa vinataja jina la cheo cha huyo mtu na sio jina lake!
SM-G955F Samsung S8+
Mzee mbona wewe ndo huelewi kilichopo!?Mkuu mbona unajichanganya ulichoandika ndo tunachokijua sasa mbona uliniuliza kama najua maana ya Pharaoh
Mimi nilisema kuwa Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa hakutajwa kwa jina kwenye Qur'an Takatifu, wewe ukaniuliza kama najua maana ya Pharaoh...
Sasa kama ni mtu mwenye uelewa ulikuwa huna maana ya kuuliza najua maana ya Pharaoh kwa kuandika kwangu Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa... inaonekana kama ulikuwa hujui halafu baadae ukajua, ni vizuri kujua, hongera.
Bado mkuu unajichanganya kwa sasa kujua kama wakati wa Trump ndo wakati wa Magufuli ni easy huwezi kuweka hoja kama hiyo kwa kipindi kile ni mbali sana hata historia ya Yesu tu ambaye alikuha karne kadhaa baadae ina utata itakuwa ya Pharaoh wa kipindi cha Nabii MusaMzee mbona wewe ndo huelewi kilichopo!?
Haya nakupa mfano rahisi sasa uelewe jamaa.
Ni sawa na sasa Kukawa na Biblia inayozungumzia ""Rais"" wa Tanzania katika kipindi cha Utawala wa Trump! bila kumtaja jina lake lolote zaidi ya kumtaja kama ni ""Rais wa Tanzania"" ili hali hapa Tanzania kuna marais watano hadi sasa. So Mimi nikaja mbele ya watu baada ya miaka elfu mbili kutoka sasa nikasema ""Rais wa kipindi cha Trumpaliitwa Magufuli!" af wewe ukaanza kunipinga na kusema aliitwa Rais sio magufuli! nani ataonekana chizi!?
SM-G955F Samsung S8+
Mzee mbona wewe ndo huelewi kilichopo!?
Haya nakupa mfano rahisi sasa uelewe jamaa.
Ni sawa na sasa Kukawa na Biblia inayozungumzia ""Rais"" wa Tanzania katika kipindi cha Utawala wa Trump! bila kumtaja jina lake lolote zaidi ya kumtaja kama ni ""Rais wa Tanzania"" ili hali hapa Tanzania kuna marais watano hadi sasa. So Mimi nikaja mbele ya watu baada ya miaka elfu mbili kutoka sasa nikasema ""Rais wa kipindi cha Trumpaliitwa Magufuli!" af wewe ukaanza kunipinga na kusema aliitwa Rais sio magufuli! nani ataonekana chizi!?
SM-G955F Samsung S8+
Point yako haina Mashiko, nanukuu ulicho post """kujua wakati wa Trump ndo wakati wa magufuli ni easy huwezi kuweka hoja kama hiyo kwa kipindi kile ni mbali sana hata Historia ya Yesu tu ambaye ALIKUHA karne kadhaa baadae ina utata sembuse ya Pharao Enzi za Nabii Musa!"""Bado mkuu unajichanganya kwa sasa kujua kama wakati wa Trump ndo wakati wa Magufuli ni easy huwezi kuweka hoja kama hiyo kwa kipindi kile ni mbali sana hata historia ya Yesu tu ambaye alikuha karne kadhaa baadae ina utata itakuwa ya Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa
Sasa wewe nipe evidence kuwa Pharaoh aliyekuwa wakati wa Nabii Musa ni Ramsy kama huo ushahidi upo na kama ushahidi upo sasa wewe ulichokuwa unakipinga ni nini na kama huo ushahidi haupo ina maana sio Ramsy sasa sioni cha maana ulichokileta
Yaani Pharaoh wa Nabii Musa awe ni Ramsy au mwingine ni Lazma alikufa kama Qur'an ilivyosema kama kuna utata unaouona wewe basi jua tu huyo siye yule wa kipindi cha Nabii Musa period.
Kwani mzee tatizo ni nini!? hebu nikuulize swali ambalo hata mtoto wa Chekechea anaweza kujibu!. Wewe hiyo historia yako unaitolea wapi??????????Narudia tena ili ujione wewe sio mzuri kwenye ujengaji hoja mimi sikuandika kuwa "aliitwa Pharaoh" tangu nilipoanza kuchangia nimeandika "kwenye Qur'an Pharaoh wa kipindi cha Nabii Musa hakutajwa jina lake" sasa wewe ukaniuliza kama najua maana ya Pharaoh, yaani from that question tu mtu mwenye upeo yoyote tu akajua upeo wako mdogo, ndo maana mwingine akakujibu kabla yangu.
Sasa ndo jwa kukusaidia ilitakiwa wewe uniulize kama Hakutajwa Jina je Pharaoh yupi ndo alikuwa kipindi cha Nabii Musa!? Hapo tungeendelea kusaidiana kwa hoja na niliandika kabla kama kuna wanaoamini ni Ramsy kwa mashiko fulani basi wana haki yao na kama wapo wanaiamini siye Ramsy hakuna shida kwa sababu sio kwamba watakuwa wameyapinga maandiko kwa sababu maandiko hakayumtaja kwa jina.
Sasa kwa mfano mwalimu darasani kasema "kuna mwanafunzi wa kiume aliyekuwa na daftari dogo wiki iliyopita kaiba" halafu we unakurupuka unasema "John kasingiziwa kwa sababu tu John hakuwa na daftari dogo".
Sasa nani chizi hapo.....
Pharaoh wa kipindi cha nabii Musa kama maandiko matakatifu yalivyoandika ndo hivyo sasa wewe povu linakutoka "Sio Yeye Hakufa Hivyo Imani zinatudanganya" hayo ya kwako hizo akili zenu za kujiita magenius maGT ndo huwa zinawaponza kitu kiko clear kabisa kama sifa zinamhusu ndiye kama hazimhusu siye na pia kuhusu hizo sifa kila mtu anaweza kuwa ana msimamo wake kutokana na dalili tofauti
Mungu Hajamtaja kwa Jina Pharaoh wa Nabii Musa sasa wewe unayedai dini inamsingizia Ramsy waulize hao wanaomsingizia wanatumia maandiko gani na dalili gani.
Wanaweza labda wakakupa dalili mpaka ukakubali kweli ni yeye