Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Najiuliza maswali kadhaa!!
Je,unajua maana ya historia?
Je,Unajua maana ya neno Firauni?
Pia je unajua tofauti ya imani na uhalisia?
Hivi ulichokiandika umeandika katika mlengo upi Imani au uhalisia?
Na je unaamini ulichoandika
au unajua kuwa ulichoandika ndio hasa kilichotokea na uthibitisho unao.Vinginevyo ya Kaisari mwachie Kaisari ........
 
Mwache apumzishe kichwa inaoneka ni kichwa ngumu mno kuelewa na iman yake ya punje la mchele,hao ndo tunao waulizaga kabla ya dini kuletwa uku africa ya mashariki mababu zetu wa kale,waliabudu nn?,na waliishi kwa imani ipi?,alafu unaachana nae apo ndo atajitambua hata kama angali mzibwa macho kwa dongo baridi la mfinyanzi.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Uislam ndo unavyokutuma uku cc atujui ilo,izo qur'an and bible zote za kukopiwa pale giza misri.....kwanzia uumbaji mpka mwisho..

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Well said
Tumepoteana kwa kipindi,
waafrica tumeamka, Asante sana kwa darasa
Secret Star
 
Iko too deep hii kitu, ni ngumu kumwingia mtu mwenye basics thoughts
 
S

Unatapatapa bado ndugu, usiweke maneno ambayo sijaandika , historia ya yesu sio kwamba kwangu ina utata hapana in general ina utata kutokana na watu mbalimbali, wewe unataka utuaminishe kuwa historia ya kale kama hiyo iko 100% correct kutokana na source zako.

Magufuli na Trump kwenye teknolojia ya kipindi hiki historia yao haiwezi kuwa shida hauko serious..... na bado hujanijibu unatapatapa KWA NINI ULINIULIZA KAMA NAJUA MAANA YA PHARAOH mwanzo!? HAKUKUWA NA LOGIC KWA MAANA HAKUNA NILICHOKOSEA MWANZO KWA HIVYO NI KAMA VILE WEWE UNAKURUPUKA TU.
 
Hahaha we jamaa wewe! Sibishani tena na wewe sababu naanza kupata mashaka juu yako! haya Nanukuu tena ulichoandika[emoji16] """Historia ya Yesu SIO KWAMBA INA UTATA HAPANA""" (hapo umemaanisha kuwa Historia ya Yesu Haina utata!) Sasa ngoja tuone umemalizia na nini, Nanukuu """In general INA UTATA KUTOKANA NA WATU MBALIMBALI hahahahaa duh!

Isitoshe hakuna mahala popote nilipoamuru watu waamini haya!

SM-G955F Samsung S8+
 
Wewe pindisha maneno tu unajichora mwenyewe mbona neno KWANGU umeliruka Wewe uliandika kuwa " kama historia ya yesu tu kwako ina utata.." na mimi sikusema KWANGU ina utata
" Niliandika kama historia tu ya Yesu ina utata"

Hauko makini unakurupuka au unataka kupotosha na bado hujibu kwa nini uliniuliza kama najua maana ya Pharaoh mwanzo nilipochangia... ndo maana nina wasiwasi ma wewe kuwa ni mkurupukaji hauko makini
 
Wewe tulia kijana mdogo, ndo kwanza internet inaanza kukujuza unajiona wajua sana kiasi cha kutaka kujifanya atheist wa kumkataa mungu.

Mungu anaabudiwa na wanyama,ndege, wadudu, na viumbe vyote.

Sasa wewe kalia na hadithi za mababu wa mababu.... UTAISOMA NAMBA
 
Siwezi kubishana na mfia dini wewe si lolote kwangu, Pia tafakari kwa kina ni yuli ataisoma namba kati yangu na mfia dini.

SM-G955F Samsung S8+
 
Haha mzee mimi naona kama unataka kubishana na huyu jamaa tu! Sasa ukiliweka hilo neno unalosema jamaa hajaliweka, mantiki ya uchokiandika itabadilika? naona wewe ndo unakurupuka huyu Secret nar bora anyamaze asibishane na wewe mimi mwenyewe nimeona ulivyo.

SM-G955F Samsung S8+
 
Kuongea na mjinga ni kujifunza Ujinga.[emoji40]

SM-G955F Samsung S8+

Bro pole sana umepanic vibaya mno lakini lazima ukomae kwenye mijadala kukasirika gaisaidii sasa mbona tunaflow mimi na wewe mwanzo mbona unakasirika twende kwa hoja taratibu tutafika nakupa muda we angalia tangu mi nilipoanza kuchangia mpaka tulipoanza kutofautiana utaona wewe haukuwa makini kunielewa..

Kama nimekuudhi tusameheane lakini wewe jitahidi tulia anza kurevise tangu nilipoanza mimi kuchangia hapo utaona sina kosa sana ila wewe labda ulikurupuka au hukunielewa
 
Inabadili maana mkuu yeye kanigeuzia maneno kasema kuwa kama "kwako tu" historia ina utata na mimi sikusema historia ina utata personally kwangu tu NO mi nilisema generally kama historia ya yesu tu ina utata ba tena kaja karne nyingi baada ya Nabii musa sasa yeye baadae anavyokuja kudai kuwa kama KWAANGU TU historia ta Yesu ina Utata anakuwa anapotosha na kutaka nionekane mimi pekee ndio MBISHI


Natumai umenipata halafu yeye mwanzo nilivyochangia aliniuluza kama najua maana ya Pharaoh!?
Swali linakuja kitu gani kilimfanya yeye aniulize lile swali wakati kama angekuwa yuko makini kidogo tu angejua kuwa nilikuwa naelewa maana yake kwa sababu niliandika PHARAOH WA KIPINDI CHA NABII MUSA....
 
Kuongea na mjinga ni kujifunza Ujinga.[emoji40]

SM-G955F Samsung S8+

Hakuna kitu nakipenda kama UJINGA,ni hali inayonifanya nitafute elimu kwa nguvu zote na popote kuhusu chochote na huku nikijua kamwe sitoumaliza ujinga wangu mpaka nakufa wala hakuna atakatemaliza ujinga wake mpaka mauti yatakampofika
 
Mzee kama kitabu chako cha historia kimekamilika tuambie Pharao wa kipindi cha Musa aliitwa nani? Taja jina lake achana na Pharao ambalo ni la cheo chake.

SM-G955F Samsung S8+
 
Mzee kama kitabu chako cha historia kimekamilika tuambie Pharao wa kipindi cha Musa aliitwa nani? Taja jina lake achana na Pharao ambalo ni la cheo chake.

SM-G955F Samsung S8+

Mkuu soma post yangu niliyochangia mwanzo utaona rudi kidogo nyuma hapo utaiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…