Umekurupuka mwenyewe mzee! mambo ya kutaka kucomment ili uonekane nawe ni mchangiaji mwisho wake huwa ni huu! hata hueleweki nini unataka. Nakushauri uwe unafikiria sana kabla ya kuingia kwenye malumbano ya hoja, ambazo zimeshapata wachangiaji wengi kama hizi. Maana kwa Jinsi tu unavyochangia unaonekana unakurupuka sana kwenye kuandika, ndo maana Secret star hata haangaiki kubishana na wewe, anatumia hizohizo Comment ulizoweka kuonyesha ukurupukaji wako! Kama unataka kubishana uwe unachukua muda Mrefu kusoma ulichoandika na kukielewa wewe mwenyewe kabla ya kutuma kwa hadhala!