Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Mkuu haikutaja jina lake ndo maana wanahistoria wnafanya jitihada kila mmoja anakuja na theory yake ndo maana hata mleta uzi hapa nate akaona kuwa wanachemka na mi nikasena kila mtu ana haki ya kuwa na mashiko yake lakini kwa mleta uzi kuanza kulaumu vitabu vya dini kuwa vimepotosha sio kweli hata waislamu wao kwa wao hawajakubaliana alikuwa akiitwa na nani na pia hakuna TIJA mungu angetaka angemtaja kwa jina mbona mama yake yesu katajwa jina Anaitwa Maryam mtakatifu au wakristo wanamuita HOLY Mary na kuna wengine wengi wametajwa na hawakuwa hata mitume mfano ni Imraan ambaye alikuwa mchamungu sasa VITABU vimemsingizia vipi kama havikumtaja jina...
Mungu sio mungu Mwenye Enzi Mkuu uwezi mwita mungu ukitumia herufi ndogo unamaanisha vitu vingine ni kweli uliposema mpka umauti unakukuta ujinga hautakuisha
 
Nimekubali kaka endeleeni kujipendekeza na kuteteana katika kupotoshana sijui hata maslahi gani mnapata mkiambiwa ukweli mnajifanya kususa....

Pole yenuuuu......
Point ya huyo unayemwita dogo ni suala dogo sana vile vile anataka kujua from your source of knowledge pharaoh wakati wa Mussa aliitwa nani kwa sababu secret star amemtaja jina wewe unasema sio jina lake tupe jina lake wewe
 
HAPO NI MTIRIRIKO TOKEA NILIANZA KUCHANGIA NAJARIBU KUWAONESHA UKURUPUKAJI WA MLETA MADA....

HIZO NI ZA MWANZO TU ILI MPATE PICHA KWANINI ALIPANIC NA WANAOMTETEA KWANINI HAKUNISAIDIA KUNIULIZIA SWALI LANGU KWAKE BAADA YA KUWA NILIMJIBU SWALI LAKE LA KWANZA

SASA NDO MJUE MTU UKIWA NA CHEMBE YA KIBURI UKADHANI NDANI YA NAFSI YAKO KUWA WEWE NI BORA KULIKO WENGINE AU UNAJUA KULIKO WENGINE UTAKUTANA NA WANAOJUA ZAIDI NA HII TABIA HUWA IPO SANA HUMU KUNA BAADHI WANAFIKIRI WAO WANADESERVE KUWA ON ANOTHER FAR LEVEL NDIO MUNGU HUWA ANAWAONESHA ANAWAKUTANISHA NA VICHWA VINGINE MWISHO WAO HUWA NI KUINGIA MITINI
Hakuna wa kuingia mitini kwa hoja dhaifu kama yako jibu maswali unayoulizwa that's all
 
IMG_2746.JPG
 
Umekurupuka mwenyewe mzee! mambo ya kutaka kucomment ili uonekane nawe ni mchangiaji mwisho wake huwa ni huu! hata hueleweki nini unataka. Nakushauri uwe unafikiria sana kabla ya kuingia kwenye malumbano ya hoja, ambazo zimeshapata wachangiaji wengi kama hizi. Maana kwa Jinsi tu unavyochangia unaonekana unakurupuka sana kwenye kuandika, ndo maana Secret star hata haangaiki kubishana na wewe, anatumia hizohizo Comment ulizoweka kuonyesha ukurupukaji wako! Kama unataka kubishana uwe unachukua muda Mrefu kusoma ulichoandika na kukielewa wewe mwenyewe kabla ya kutuma kwa hadhala!
Point big point
 
Hakuna wa kuingia mitini kwa hoja dhaifu kama yako jibu maswali unayoulizwa that's all

Siwezi kujibu maswali mengine kama mpaka sasa wote mmeshindwa kunijibu swali langu la kwanza au MNAMUOGOPA Secret Star!!? Au!?

Swali ni rahisi tu nilichangia mara yangu ya kwanza, NIKAULIZWA NA HUYO MNAYEMUOGOPA NYINYI (Je ninajua maana ya pharao!?, nikamjib ndio..

Swali langu kwake

LOGIC YAKE YA KUNIULIZA KAMA NAJUA MAANA YA PHARAO!?( Baada ya comment yangu ya kwanza!!!)

Swali ni rahisi sana tena saaanaaa lakini kwa kuwa linaonesha ukurupukaji ndo maana mnakwepakwepa kulijibu

Mbona mnatapatapa mkinijibu tutaendelea...
Vinginevyo endeleeni kupumbazana.......
 
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi

Nilikuwa nachungulia nini kinaendelea

Oya Acheni kubishana tunafuatilia historia hiyo msilete mbwembwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom