Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Wow! Mimi nathibitisha kwa kuamini sababu haya yote yapo Misri yameandikwa tangu kale! Kifupi kuchakachuliwa kwake ni kugumu sababu ya sehemu yalimoandikwa, pia Mwili/mummy wa Rammesses unaonyesha wazi luwa alikufa akiwa mzee!.
Nipe sababu za wewe kuamini Bible na Quran..
Jibu zuri sana ila sio toshelevu,

Kwa hakika IMANI huwa haina SABABU, kwanini?

Kwasababu IMANI ni kuwa na Uhakika na mambo ambayo hayaonekani ila yanaaminika.

Kwa mfano, suala la kuamini kuwa Musa aliigawanyisha bahari ya sham au Yesu alibatizwa halina sababu zaidi ya kuamini kwakuwa yameandikwa....Sawa?

Tunaaminije hayo? Ni kupitia maandiko yaliyopo na yaliyoandikwa ama vitu vilivyosalia baada ya kutumiwa na hao tunaowaamini.

Just the same kabisa na wewe unavyoyaamini hao yaliyoandikwa, yaliyochorwa, yaliyoachwa ama yaliyofanyiwa naration.
 
Wapo wengi wanaosema kuwa mpaka leo hii bado Maiti ya Ramesses haijaoza na wengi wanasema hayo yaliandikwa katika vitabu vyao vitakatifu.

Sababu kuu ni kuwa hilo linatokana na aina ya ujenzi wa kaburi hilo ambalo mpaka leo linawapa engineers wengi maswali mengi.

Ni tofauti na wewe ulivyoelezea habari ya maiti hiyo.
 
Unachanganya mambo.
Zipo majengo,vyombo,sanamu,shanga,bakuli,mitungi,picha asili na vyote tunavyohitaji kujua walikua ni watu weusi.
Hata watapeli weupe washafanya DNA testing wamebaini chembechembe za uhai zilizotoholewa kwenye maiti za mafarao zina match za watu wapatikanao maeneo ya Kenya,Sudani pamoja na Uhabeshi/Ethiopia...na kadhalika.
Haya sio mambo ya imani,ni vitu ambavyo tunaviona leo na vipo kwenye maonyesho...SCIENTIFIC EVIDENCE PIA.
MAMBO YA IMANI TUPILIA KULE.
 
Huo ni uongo tu! Uliozushwaili kuharibu jina la Egypt kingdom na dini ya kale ya wamisri..
Sipingani nawewe ila unaposema ule ni UONGO, inabidi wewe utupe UKWELI yakinifu na halisi tofauti na uongo huo.

MFANO, nakuuliza hivi: wewe ulijuaje kuwa Ramesses alishindwa vita moja tu hiyo ya Syria?

Au kuwa maiti yake ilihamishwa mara hizo ulizotaja?

Source ya hiyo information ni ipi?
Huo ni uongo tu! Uliozushwaili kuharibu jina la Egypt kingdom na dini ya kale ya wamisri..
 
Wapo wengi wanaosema kuwa mpaka leo hii bado Maiti ya Ramesses haijaoza na wengi wanasema hayo yaliandikwa katika vitabu vyao vitakatifu.

Sababu kuu ni kuwa hilo linatokana na aina ya ujenzi wa kaburi hilo ambalo mpaka leo linawapa engineers wengi maswali mengi.

Ni tofauti na wewe ulivyoelezea habari ya maiti hiyo.
Message sent au siyo! Weka unavyo elewa wewe! Hakuna ubishano!
 
Jibu zuri sana ila sio toshelevu,

Kwa hakika IMANI huwa haina SABABU, kwanini?

Kwasababu IMANI ni kuwa na Uhakika na mambo ambayo hayaonekani ila yanaaminika.

Kwa mfano, suala la kuamini kuwa Musa aliigawanyisha bahari ya sham au Yesu alibatizwa halina sababu zaidi ya kuamini kwakuwa yameandikwa....Sawa?

Tunaaminije hayo? Ni kupitia maandiko yaliyopo na yaliyoandikwa ama vitu vilivyosalia baada ya kutumiwa na hao tunaowaamini.

Just the same kabisa na wewe unavyoyaamini hao yaliyoandikwa, yaliyochorwa, yaliyoachwa ama yaliyofanyiwa naration.
Kumbukumbu za kitabu na kumbukumbu zilizoko kwenye pyramid ni zipi zinazoweza kubadilishwa hovyo na kirahisi!?
Mambo mengi ya Kemet na Giza yameandikwa kwenye walls na pyramid zenyewe!
Kule kuna Michoro, clone za kale, kipindi hata Musa wala Abraham hajafika Egypt!
Miili/masalia yaliyopo mpaka sasa na kwa vipimo vya DNA, vinazidi kuiweka mbali Mythology ya Misri kutoka kwenye kuamini kwenda kwenye fact!
Ila Suala la hivi vitabu hivi ndipo kimbembe kinaanza! Ukizingatia kuwa Musa, Mwenyewe mwanzilishi wa imani kuu za sasa Kaishi Misri tangu utoto hadi miaka 40+.

Endelea na imani yako baba..
 
Message sent au siyo! Weka unavyo elewa wewe! Hakuna ubishano!
Kwani mimi nimesema ninaelewa yapi zaidi ya hayo hapo na ninachotaka hasaa...ni Uhalali wa yeye kusema ya kwenye Biblia ni UONGO ila aliyotuandikia yeye ndio KWELI. Ni hilo tu.

Hatuko katika ubishani tupo katika kujuzana mengi, kujadiliana na kuelimishana.
 
Sipingani nawewe ila unaposema ule ni UONGO, inabidi wewe utupe UKWELI yakinifu na halisi tofauti na uongo huo.

MFANO, nakuuliza hivi: wewe ulijuaje kuwa Ramesses alishindwa vita moja tu hiyo ya Syria?

Au kuwa maiti yake ilihamishwa mara hizo ulizotaja?

Source ya hiyo information ni ipi?
Jaribu na wewe ku google upate hiyo information unayotaka ili roho yako ifurahi, zama hizi ni technology jamani!
 
Herode/Pilato walikuwa outsiders kutoka Roma ndio maana kwenye vitabu wafalme wanaotambulika Ni kutoka uzao wa daudi tu hao wengine Ni imposters tu waliwekwa ma Roma kwa maslahi yao.
Mzungu amuweke utumwa Mzungu mwenzake uliona wapi?? Rumi Ni wazungu Israel ya enzi hiyo walikuwa weusi
Waisraeli wa Leo ni uzao wa Warumi wa kale.
 
Wapo wengi wanaosema kuwa mpaka leo hii bado Maiti ya Ramesses haijaoza na wengi wanasema hayo yaliandikwa katika vitabu vyao vitakatifu.

Sababu kuu ni kuwa hilo linatokana na aina ya ujenzi wa kaburi hilo ambalo mpaka leo linawapa engineers wengi maswali mengi.

Ni tofauti na wewe ulivyoelezea habari ya maiti hiyo.
Huu ni mwili wa Rammesses! Kama huu mwili unaouona hapa ni kweli haujaoza!, zitafakari imani zako na vyanzo vyako vya habari.
tapatalk_1492942734810.png
 
Kwani mimi nimesema ninaelewa yapi zaidi ya hayo hapo na ninachotaka hasaa...ni Uhalali wa yeye kusema ya kwenye Biblia ni UONGO ila aliyotuandikia yeye ndio KWELI. Ni hilo tu.

Hatuko katika ubishani tupo katika kujuzana mengi, kujadiliana na kuelimishana.
Nadhani Secret Star amesha kujibu!
 
Kumbukumbu za kitabu na kumbukumbu zilizoko kwenye pyramid ni zipi zinazoweza kubadilishwa hovyo na kirahisi!?
Mambo mengi ya Kemet na Giza yameandikwa kwenye walls na pyramid zenyewe!
Kule kuna Michoro ya kale, tangu Musa wala Abraham hajafika Egypt!
Miili/masalia yaliyopo mpaka sasa na kwa vipimo vya DNA, vinazidi kuiweka mbali Mythology ya Misri kutoka kwenye kuamini kwenda kwenye fact!
Ila Suala la hivi vitabu hivi ndipo kimbembe kinaanza! Ukizingatia kuwa Musa, Mwenyewe mwanzilishi wa imani kuu za sasa Kaishi Misri tangu utoto hadi miaka 40+.

Endelea na imani yako baba..
Hahaha...nafikiri wewe hujaelewa swali langu hasa linataka nini,

Twende hivi:-

Mpaka kufikia miaka ya 1979 wachambuzi wa Biblia na watafiti mbalimbali walitangaza kuwa walifanikiwa kupata baadhi ya mabaki ya mbao zilizotumika kuitengeneza safina ya Nuhu huko babilon ya zamani.

Sii hilo tu,miaka ya 1800's wapo waliosema waliona kabisa jiwe lenye umbo la mtu mwanamke anayegeuka upande wa kushoto hivyo ikaaminika kuwa habari ya mke wa Lutu kugeuka kuwa jiwe la chumvi ni kweli.

Lakini mpaka leo hii usemi wa wasomi na wa kisayansi unasema kuwa "To see is to believe"

Have you seen all those in Egypt?

Hakuna mifupa na michoro iliyokuja kuongezwa katika utawala wa Eqypt baadaye ili kuvutia utalii

Carbon 14 iligunduliwa lini?

Does that justify the Incorrect of the Bible?
 
View attachment 500060

Mkuu huyu kwa mfano hapa, ni BIBI mkubwa tena bibi yake kabisa Farao ,mamake Ram wa tatu!
Mwafrika ASILI.

View attachment 500060

MALKIA TIYE!
Sina uhakika na hili ila kuna sababu nyingine nyingi zinazonifanya niamini kuwa, Ndio ni kweli kuwa Mafarao walikuwa ni watu weusi jamii ya Nilotes/Nubians (Hii ni kutokana na historia mbalimbali)

Na ndio maana kuna uhusiano wa Egypt na Sudan tokea enzi...neno Sudan linahusiana na Black people.

Kuna uwezekano mkubwa sana kizazi cha mafarao wa Misri kipo Sudan na Ethiopia.

Waarabu wa Egypt, Tunisia, Morocco na hata Libya waliletwa tu na kutengenezewa system ya uongozi zamani sana na Warumi walioitawala dunia yote, waasisi wa Ulatini.
 
Back
Top Bottom