Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
mkuu kwani yesu alizaliwa misri??
Soma kaka soma.
Alitoroshewa kule mafichoni Misri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kwani yesu alizaliwa misri??
Jibu zuri sana ila sio toshelevu,Wow! Mimi nathibitisha kwa kuamini sababu haya yote yapo Misri yameandikwa tangu kale! Kifupi kuchakachuliwa kwake ni kugumu sababu ya sehemu yalimoandikwa, pia Mwili/mummy wa Rammesses unaonyesha wazi luwa alikufa akiwa mzee!.
Nipe sababu za wewe kuamini Bible na Quran..
Wapo wengi wanaosema kuwa mpaka leo hii bado Maiti ya Ramesses haijaoza na wengi wanasema hayo yaliandikwa katika vitabu vyao vitakatifu.Wow! Mimi nathibitisha kwa kuamini sababu haya yote yapo Misri yameandikwa tangu kale! Kifupi kuchakachuliwa kwake ni kugumu sababu ya sehemu yalimoandikwa, pia Mwili/mummy wa Rammesses unaonyesha wazi luwa alikufa akiwa mzee!.
Nipe sababu za wewe kuamini Bible na Quran..
Jibu zuri sana ila sio toshelevu,
Kwa hakika IMANI huwa haina SABABU, kwanini?
Kwasababu IMANI ni kuwa na Uhakika na mambo ambayo hayaonekani ila yanaaminika.
Kwa mfano, suala la kuamini kuwa Musa aliigawanyisha bahari ya sham au Yesu alibatizwa halina sababu zaidi ya kuamini kwakuwa yameandikwa....Sawa?
Tunaaminije hayo? Ni kupitia maandiko yaliyopo na yaliyoandikwa ama vitu vilivyosalia baada ya kutumiwa na hao tunaowaamini.
Just the same kabisa na wewe unavyoyaamini hao yaliyoandikwa, yaliyochorwa, yaliyoachwa ama yaliyofanyiwa naration.
Sipingani nawewe ila unaposema ule ni UONGO, inabidi wewe utupe UKWELI yakinifu na halisi tofauti na uongo huo.Huo ni uongo tu! Uliozushwaili kuharibu jina la Egypt kingdom na dini ya kale ya wamisri..
Huo ni uongo tu! Uliozushwaili kuharibu jina la Egypt kingdom na dini ya kale ya wamisri..
Message sent au siyo! Weka unavyo elewa wewe! Hakuna ubishano!Wapo wengi wanaosema kuwa mpaka leo hii bado Maiti ya Ramesses haijaoza na wengi wanasema hayo yaliandikwa katika vitabu vyao vitakatifu.
Sababu kuu ni kuwa hilo linatokana na aina ya ujenzi wa kaburi hilo ambalo mpaka leo linawapa engineers wengi maswali mengi.
Ni tofauti na wewe ulivyoelezea habari ya maiti hiyo.
Kumbukumbu za kitabu na kumbukumbu zilizoko kwenye pyramid ni zipi zinazoweza kubadilishwa hovyo na kirahisi!?Jibu zuri sana ila sio toshelevu,
Kwa hakika IMANI huwa haina SABABU, kwanini?
Kwasababu IMANI ni kuwa na Uhakika na mambo ambayo hayaonekani ila yanaaminika.
Kwa mfano, suala la kuamini kuwa Musa aliigawanyisha bahari ya sham au Yesu alibatizwa halina sababu zaidi ya kuamini kwakuwa yameandikwa....Sawa?
Tunaaminije hayo? Ni kupitia maandiko yaliyopo na yaliyoandikwa ama vitu vilivyosalia baada ya kutumiwa na hao tunaowaamini.
Just the same kabisa na wewe unavyoyaamini hao yaliyoandikwa, yaliyochorwa, yaliyoachwa ama yaliyofanyiwa naration.
Kwani mimi nimesema ninaelewa yapi zaidi ya hayo hapo na ninachotaka hasaa...ni Uhalali wa yeye kusema ya kwenye Biblia ni UONGO ila aliyotuandikia yeye ndio KWELI. Ni hilo tu.Message sent au siyo! Weka unavyo elewa wewe! Hakuna ubishano!
Jaribu na wewe ku google upate hiyo information unayotaka ili roho yako ifurahi, zama hizi ni technology jamani!Sipingani nawewe ila unaposema ule ni UONGO, inabidi wewe utupe UKWELI yakinifu na halisi tofauti na uongo huo.
MFANO, nakuuliza hivi: wewe ulijuaje kuwa Ramesses alishindwa vita moja tu hiyo ya Syria?
Au kuwa maiti yake ilihamishwa mara hizo ulizotaja?
Source ya hiyo information ni ipi?
Waisraeli wa Leo ni uzao wa Warumi wa kale.Herode/Pilato walikuwa outsiders kutoka Roma ndio maana kwenye vitabu wafalme wanaotambulika Ni kutoka uzao wa daudi tu hao wengine Ni imposters tu waliwekwa ma Roma kwa maslahi yao.
Mzungu amuweke utumwa Mzungu mwenzake uliona wapi?? Rumi Ni wazungu Israel ya enzi hiyo walikuwa weusi
Huu ni mwili wa Rammesses! Kama huu mwili unaouona hapa ni kweli haujaoza!, zitafakari imani zako na vyanzo vyako vya habari.Wapo wengi wanaosema kuwa mpaka leo hii bado Maiti ya Ramesses haijaoza na wengi wanasema hayo yaliandikwa katika vitabu vyao vitakatifu.
Sababu kuu ni kuwa hilo linatokana na aina ya ujenzi wa kaburi hilo ambalo mpaka leo linawapa engineers wengi maswali mengi.
Ni tofauti na wewe ulivyoelezea habari ya maiti hiyo.
Nadhani Secret Star amesha kujibu!Kwani mimi nimesema ninaelewa yapi zaidi ya hayo hapo na ninachotaka hasaa...ni Uhalali wa yeye kusema ya kwenye Biblia ni UONGO ila aliyotuandikia yeye ndio KWELI. Ni hilo tu.
Hatuko katika ubishani tupo katika kujuzana mengi, kujadiliana na kuelimishana.
Ni kweli, na nafikiri teknolojia ni moja ya kosa kubwa alilofanya Mzungu, kuileta Africa maana inatuamsha mno!Jaribu na wewe ku google upate hiyo information unayotaka ili roho yako ifurahi, zama hizi ni technology jamani!
Huo si utaratibu mzuri wa dialogue ama Discussion.
Jibu swali ndipo nawewe uulize swali.
Hahaha...nafikiri wewe hujaelewa swali langu hasa linataka nini,Kumbukumbu za kitabu na kumbukumbu zilizoko kwenye pyramid ni zipi zinazoweza kubadilishwa hovyo na kirahisi!?
Mambo mengi ya Kemet na Giza yameandikwa kwenye walls na pyramid zenyewe!
Kule kuna Michoro ya kale, tangu Musa wala Abraham hajafika Egypt!
Miili/masalia yaliyopo mpaka sasa na kwa vipimo vya DNA, vinazidi kuiweka mbali Mythology ya Misri kutoka kwenye kuamini kwenda kwenye fact!
Ila Suala la hivi vitabu hivi ndipo kimbembe kinaanza! Ukizingatia kuwa Musa, Mwenyewe mwanzilishi wa imani kuu za sasa Kaishi Misri tangu utoto hadi miaka 40+.
Endelea na imani yako baba..
Hahahaa haya mkweli umwage hapa huo ukweli tuuoneAise we muongo cjawah kuona
Sina uhakika na hili ila kuna sababu nyingine nyingi zinazonifanya niamini kuwa, Ndio ni kweli kuwa Mafarao walikuwa ni watu weusi jamii ya Nilotes/Nubians (Hii ni kutokana na historia mbalimbali)View attachment 500060
Mkuu huyu kwa mfano hapa, ni BIBI mkubwa tena bibi yake kabisa Farao ,mamake Ram wa tatu!
Mwafrika ASILI.
View attachment 500060
MALKIA TIYE!