Biblia imebaki na watetezi!, Kifupi ni Dini iliyo hai!
Ila dini ya Ancient Egypt imekufa karibu miaka 2000 iliyopita!, Kwa sasa zimebaki story tu.
Ila kwa yeyote atakayesoma Wamisri wale waliishije, ataanza kupata mashaka na hivi vitabu, sababu mambo mengi yaliyoandikwa humu Asili yake ni Kwenye Dini za wamisri wa kale!
Mababu wa Misri walijua kabisa kuwa huko mbele kutakuja kuwa na shida katika vizazi vyao, kwenye kujitambua, pamoja na asili zao za kale. Ndiyo maana walifanya kampeni kubwa ya kutunza Kumbukumbu! Ili vizazi vije kuamka.
Kifupi Misri ya kale imekosa mtetezi/watu/ huku kizazi chote kilichopo kikiwa kimelewa mambo mapya, Ndo maana Manabii taratibu tunaanza kuzuka na kutetea kingdom ya asili.
Watu kama sisi ilikuwa lazima tuje kutokea!